Jamani tuangalie maneno ya khanga tunazovaa

MR. ABLE

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,480
944
Habari zenu wanaJf wenzangu.

Juzi jirani yangu alirudi kutoka safari ya kikazi ambayo alikua huko mkoani Mbeya,
alivyorudi alikua amemmiss sana mke wake kias ambacho alishindwa hata kuvumilia kuendelea na kazi mkoani humo.
Ila kimbembe kimekuja pale alipomkuta mkewe amevaa khanga iliyoandikwa "kuliko kioze bora nimpe jirani".

Shida inakuja pale ambapo yule mume anahisi labda mimi ndie ninayemreplace pale anapokua hayupo coz hapo tunapoishi tupo mimi na yeye tu.

Je nifanyaje ili jirani yangu aweze kuamini kwamba sihusiki na mkewe.
 
chezea uswazi wewe, kila kitu kinamaanisha, asipovaa khanga ataweka taarabu , achukulie poa tu kama ye c wa mwambao yasimuumize kichwa atuachie wenyewe
 
Mie khanga za "NATAKA PAJA MIE HAKINITOSHI KIPAPATIO" zanikosha kweli kweli!!!!! Na hii ya "KIZURI KULA NA WENZIO, KIBAYA MPE MBWA" yanichanganya kwelikweli.
 
na wewe nunua kanga iliyoandikwa:

'Mpende jirani yako kama unavyojipenda'
 
Mie khanga za "NATAKA PAJA MIE HAKINITOSHI KIPAPATIO" zanikosha kweli kweli!!!!! Na hii ya "KIZURI KULA NA WENZIO, KIBAYA MPE MBWA" yanichanganya kwelikweli.

maneno hayo lara 1
 
Last edited by a moderator:
Hakika nimesadiki Paka hana urafiki.......Maua Harufu sio Rangi..............Samaki akioza usimtupe......
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom