"POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kikosi cha Usalama Barabarani, wamekusanya zaidi ya Sh milioni 888 kwa siku tano kutokana na makosa ya usalama barabarani. Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Simon Sirro alisema ukamataji wa makosa hayo ulifanyika Aprili 19 hadi 23, mwaka huu" Hii ni Copy and Paste. Tafakari.
Ha ha ha ha ha, Kama nakuona mkuu unavyopaa na ndege ya ardhini hiyo.Mi nissan yangu y62 platinum edition
Hua ni spidi kanzia 240 kwenda mbele
Kwenye humps ni 70 km/h
Wanikamatie wap kwa mfano
My take
Kimbiza gari kadri uwezavyo
"Mwendo mdogo main road ni chanzo cha ajari"
Kuna app yake mzee, hawakusumbuiDawa ni kununua kile kidubwasha unafunga kwenye front mirror kinadetect speed torch ikiwa kilometa 5 toka gari lako lilipo.....nadhani ni $70 kwa ebay
hyo app inaitwaje ?Mimi ninayo ile app ya kujua cameta ziko wapi. Cha kushangaza unaweza kuwa unaendesha gari polini kabisa na hakuna kibao cha 50 lkn utasikia simu ina toa alarm na kukujulisha kuwa kuna camera. Huo ni uthibitisho kuwa hela inatafutwa kwa lazima. Huu utaratibu wa kurusha picha ni mbovu hakuna mfano
Yaani hiyo ndo dawa safi kabisa...dereva unadrive private unalialia eti nakamatwa nakamatwa je anayeendesha daladala asemeje.Ha ha ha ha ha ndio dawa yao hiyo, kuna siku trafiki mmoja aliniungia na bodaboda baada ya kutokusima nilimuonesha maana halisi ya Nissan Safari ukiangalia hapo nimetoka kupigwa hela na trafiki hao hao week kama mbili zilizopita mbona aliisoma namba wanakera sana hawa jamaa yani sisi tumekuwa kama ng'ombe wakuwapa maziwa wao na nashukuru kweli kulikuwa hamna foleni siku ile maana fungu lingine lingenitoka 🙂 🙂
Hiyo App haina dili siku hizi. Wanazima camera.ukishawapita wanakupiga kwa nyuma wanawatumia askari.wa.mbele yaoMimi ninayo ile app ya kujua cameta ziko wapi. Cha kushangaza unaweza kuwa unaendesha gari polini kabisa na hakuna kibao cha 50 lkn utasikia simu ina toa alarm na kukujulisha kuwa kuna camera. Huo ni uthibitisho kuwa hela inatafutwa kwa lazima. Huu utaratibu wa kurusha picha ni mbovu hakuna mfano
Kaka hyo app inaitwaje?Mimi ninayo ile app ya kujua cameta ziko wapi. Cha kushangaza unaweza kuwa unaendesha gari polini kabisa na hakuna kibao cha 50 lkn utasikia simu ina toa alarm na kukujulisha kuwa kuna camera. Huo ni uthibitisho kuwa hela inatafutwa kwa lazima. Huu utaratibu wa kurusha picha ni mbovu hakuna mfano
Ivi iyo app inapatikana playstore? Mkuu nijuzeMimi ninayo ile app ya kujua cameta ziko wapi. Cha kushangaza unaweza kuwa unaendesha gari polini kabisa na hakuna kibao cha 50 lkn utasikia simu ina toa alarm na kukujulisha kuwa kuna camera. Huo ni uthibitisho kuwa hela inatafutwa kwa lazima. Huu utaratibu wa kurusha picha ni mbovu hakuna mfano
Mi ninacho ona sasa hivi kinachofanyika ni unyanganyi wa wazi kabisa..Ndio michezo yao hao jamaa; siku hizi wanalazimisha utoe hela kwa nguvu. Sheria ibadilishwe TANROADS iwajibike pale ambapo max speed ni kiwango fulani basi vibao viwekwe mfululizo umbali usiozidi mita 100 kila kibao ili kutoa msisitizo.
Kuna kakijiji fulani hapo unakaribia kuimaliza Pwani kuingia Tanga; kibao cha 50 na cha kuifuta 50 viko umbali wa zaidi ya km. 5; yaani hapo matrafiki wanapapenda kuliko eneo lolote Tanzania. Kakibanda kao ka nyasi (upande wa kulia kama unaenda Segera) kametegeshwa mahali ambapo huwezi kuona kibao cha upande wowote na ni lazima uingie mkenge tu. Huu ujanja ujanja wa kitoto ufike mwisho kama ni hela sio kwa utaratibu huo.
Mimi walinikamata inasoma 63kph pale mwembeni Bagamoyo,niliwashangaa,nikajua njaa tuMkuu kwa nini hawa polisi huwa wanaoenda sana kusema umezidi speed limit kwa 61 au 62? Hata mimi waliwahi kunikamata Manyoni wakadai hivyo tena kwa ushahidi wa picha ya kwenye whatsapp. Hili litakuwa deal lao tu.
Sidhani kama kuna ukweli hapo..Huu ni wizi wa mchana kweupeeee yaani kwa siku tano wanacheza maeneo ya bilioni almost 200 million per day!