Jamani Trafiki Wanakera sana!

Wanapenda kupanda juu yamiti huwa naomba siku moja wagongwe na nyoka ili wakome
 
Hiv kuna trafiki wasumbufu kama hawa wanao shinda Mbezi kwa yusufu???. Kwa macho yangu nimeahudia wakisababisha ajali mara mbili.
 
Naomba unisaidie hiyo app mkuu
 
Hivi ukishalipa mara moja ukapewa risiti, ukikamatwa tena kwenye safari hiyo hiyo, unalipa tena?????
 
una lidar detector? fafanua kidogo mkuu
 
Mmmmh kazi ipo mie hawajanikamata
 
Magufuli kashawapa kichwa kawaambia wachukue hela ya kupiga brush viatu, mnategemea nini?
 
Sasa unalalamika unakamatwa wakati unasimama mwenyewe...kimbiaa
Leo nilikimbizwa na mkuu wa kituo akiwa na gari yake binafsi huko maeneo ya Kanda ya ziwa.Kumbe alikuwa amebeba malaya kwenye Noah yake halafu alikuwa anataka kumuombea lift kwenye gari langu.Baada ya kumuosha akaanza kufukuzia nyuma huku akitiwa moto na yule hawara yake mwisho wa siku akatenga gari mbele na kuanza kupiga mikwara huku amevaa kiraia.Yaani hawa kina ngosha huwa wanajidharirisha sana pindi wanapopewa vyeo.

Sent from my GT-I9060 using JamiiForums mobile app
 
Mi nissan yangu y62 platinum edition
Hua ni spidi kanzia 240 kwenda mbele
Kwenye humps ni 70 km/h
Wanikamatie wap kwa mfano
My take
Kimbiza gari kadri uwezavyo
"Mwendo mdogo main road ni chanzo cha ajari"
 
Hilo ndo tatizo lao wanapenda lift balaa
 
Nilikuwaga nayo hii... Hivi inafanya kazi kiuhakika kabisa au magumashi?
Mimi naona kama magumashi vile


Mi nissan yangu y62 platinum edition
Hua ni spidi kanzia 240 kwenda mbele
Kwenye humps ni 70 km/h
Wanikamatie wap kwa mfano
My take
Kimbiza gari kadri uwezavyo
"Mwendo mdogo main road ni chanzo cha ajari"
 
Nina mwaka sasa sijakamatwa na traffick...dawa ni ndogo huwa nawakimbia.

Wakipiga mkono nakamua mafuta.....mwendo wa racing.
Ha ha ha ha ha ndio dawa yao hiyo, kuna siku trafiki mmoja aliniungia na bodaboda baada ya kutokusima nilimuonesha maana halisi ya Nissan Safari ukiangalia hapo nimetoka kupigwa hela na trafiki hao hao week kama mbili zilizopita mbona aliisoma namba wanakera sana hawa jamaa yani sisi tumekuwa kama ng'ombe wakuwapa maziwa wao na nashukuru kweli kulikuwa hamna foleni siku ile maana fungu lingine lingenitoka 🙂 🙂
 
Mimi siku moja simu ililia ghafra porini kabisa hakuna kibao cha 50, nikaitungua tu, kufika mbele nakamatwa nilikuwa overspeed, nikawaambia hii gari sio ya abiria (
bus) wakaniacha nikaondoka, ila simu zimesaidia sana

Pia siku hizi wanapenda kupanda maroli, sasa ukiovertake sehemu ambayo sio,mbele yako wana wewe
 
Inaitwaje hiyo mkuu itusaidie na sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…