Usijali kuhusu central Admission,,,mim nilienda ofisi za Nacte,,, wakadai hii ilikuwa kwa zile institutions ambazo zinaOffer degree/ Bachelor na ndo maana kuna baadhi ya vyuo vilikuwa havionekani I.e. Universities,,, kwa hio wakadai kwamba TCU tu wakianza kupokea application na sisi ndo tuappaly,,,muda wowote kaa mkao Wa kula