Jamani wandugu, tcu majanga ma2pu. Program nilizokuwa nimejaza, mwanzoni niliwekea YES zote but leo nashangaa leo nimewekewa NO kwenye program nilizokuwa na sifa nazo. Sasa muda umeshapita itakuwaje wenzangu?
mkuu hakuna cha kufanya hapo ni kusubiri selections tu,ukitoka alhamdulilah,ukibaki unalia na second round.Sio wewe tu ni wengi imetokea though mie nilikuwa na no mbili sasa hivi nina yes zote
Bishara mchovu hilo ni la kawaida ila kama kabla walisema umequalify na sasa ivi wanasema huja qualify wala usiohofu bi mambo ya mtandao tu na hiyo ndo dalil kwamba kama hawajaanza mambo ndo wanaanza...so kua mpole!!
Jamani wandugu, tcu majanga ma2pu. Program nilizokuwa nimejaza, mwanzoni niliwekea YES zote but leo nashangaa leo nimewekewa NO kwenye program nilizokuwa na sifa nazo. Sasa muda umeshapita itakuwaje wenzangu?
Ndungu, biashara,, hiyo kitu inatoke kama mwanzoni uliweka coz ambazo zina YES then ukabadilisha course,, ukibadili course, ile YES iliyokuwa ile sehemu ambapo umeweka course mpya inaendelea kuwepo mpaka uiupdate kwa kuclick tena kwenye check for eligibility.