Hata mim nashangaa serikali yote pamoja na Wizara ya Michezo kazi yake ni nini hasa kwa wananchi,ni jambo la kushangaza kwa Taasisi kama TBC ,wIZARA na Serikali yote kushindwa kuonyesha michezo hiyo inayotokea mara moja baada ya miaka 2.Hakika ni ktowajibika kwa wananchi na hakuna la maana kwa serikali kama hii corrupt kushindwa kuonyesha michezo hiyo huku fedha nyingi zikitumika kwa kazi zisizo na tija kwa jamii.
Hata mimi naamini TBC imekufa na hii tunayoiona ni TBCCM yaani utakuta tukio limetokea leo na ITV wamerusha lakini TBCCM wanakuja kuitanga hiyo habari au tukio siku ya tatu au nne, hakuna kitu kabisa tena ni TIBITHITHIEMUTBC ishakufa kitambo mnayoiona ni TBCCCM
watarushaje mechi kama chama hakijaamua?
Tido kaondolewa kwa majunggu ya CCM, kawekwa kada wao sasa mnashangaa nn ikiendeshwa kiCCM!Baada ya Tido kuondoka, hakuna mbunifu mwingine pale, tumeliwa.
TBC ishakufa kitambo mnayoiona ni TBCCCM
watarushaje mechi kama chama hakijaamua?[/QUOT
na pia hawana budget kwa ajili ya kuwaburudisha watz hawana kabisa jamani, wanayo budget ya kununulia maji ya washawasha ya kuwagea polisi, kutoa rambirambi akifariki msanii, ya kununua kanga, kofia na vitenge wakati wa uchaguzi, kupikisha pilau kama upendo wakati wa uchaguzi na duplication ya makaratasi ya kupigia kura kwa ajili ya kuongeza kura za ccm n.k nk