Ukiondoa mapungufu madogo madogo kama hayo, TBC is doing its best, japo need to do more.
Ukilinganisha na ilipokuwa TVT, utakubaliana na mimi, kwa sasa, TBC inahitaji pongezi na sio lawama.
TBC, inawatangazaji zaidi ya 60, sasa huyo mmoja tuu anayeboa, asitumike kuipotray TBC mnaboa as if ndio TBC yote.
Jamani tuwe huru kutumia vizuri freedom zetu of expression kuelezea yale yanayotukera, ila pia tusiwe wepesi kuelezea mauzi na kero tuu, mara moja moja pia tuwe tuna complement kwa mazuri machache kwenye hilo lundo la madhaifu, sio tuu kulalamika wee as if TBC does nothing good, ni kuboa tuu.
Pia ni kweli, TBC inatakiwa kujitahidi kufikia viwango vya BBC, CNN, Al jazeeras etc, nimebahatika kutembelea TBC na pia kutembelea makao makuu ya CCN pale Atlanta, ndugu zangu, hivi ni vitu viwili tofauti, the only thing in common, ni zote ni TV Stations nothing more, just like tembo na sisimizi, comparizon na TBC ni unfair.
Naona kama kuna chuki binafsi vile..............!!!!!!!!Ukiondoa mapungufu madogo madogo kama hayo, TBC is doing its best, japo need to do more.

Kwa hivyo kama kuna jambo linakera watu wasiseme eti kwa vile mengine ni mazuri? Utajirekebisha vipi usipoambiwa unachofanya sicho?