Jamani tatizo sio Rais ni mfumo CCM

Horribly incompetent president and I place the blame squarely on that nasty Msoga
 
Kwa hiyo mfumo wa CCM unaruhusu kikundi cha watu kuwateka wenzao na kuwapora uhai?

Kama hivyo ndiyo basi CCM si chamancha siasa, ninkikundi cha waasi.
 

Kiini cha matatizo yote haya ni kweli kabisa kwamba yanatokana na Mfumo mbovu na mbaya Sana wa Utawala wa nchi ambao umeasisiwa na kuwepo kwa Katiba mbaya Sana, pamoja na Sheria za nchi ambazo pia ni mbaya Sana na Kandamizi.

Root cause ni Katiba ya nchi hii kuwa mbaya, Sheria mbaya.

Katiba ya nchi pamoja na Sheria nyinginezo zilizopo zimewafanya Watawala kuwa ni 'Miungu Watu,' na Wananchi wote wa kawaida wamegeuzwa kuwa MATEKA WA WATAWALA.
 
Una uhakika gani huo mfumo mpya utakuwa na tija kuliko hii ambayo CCM wameweza kuileta Tanzania?.

Tukuze kwa nguvu kubwa viwango vya elimu za vyuo vyetu kwanza, tupambanie ubunifu miongoni mwa hawa watoto wa shule za msingi na sekondari ili wasiwe wageni katika dunia inayojali zaidi mchango wa mtu binafsi.
 
Hatuwezi kuua kwa kuwa keyboard Warriors. Adaptation ya Kényan Gen Z method is mandatory.
 
Hata mimi nashangaa watu kulaumu huwezi kupata matunda mazuri kwenye mti mbovu.Ndio maana kuamini mtu anayetoka Chama dola ni msafi wakati kazawaliwa na waovu.Mbowe alisema hata malaika akikaa Sisiem siku tatu atakuwa ibilisi.Ila wamejisahau mnooooo!!!!
 
Tatizo ni vyote viwili, japo huyo samia ndo tatizo kubwa zaidi[emoji57]
 
Toa ujinga, Mwnyekiti wa CCM ndo RAISI wa nchi halafu unasema ni mfumo?😅😅 are you normal??
Hiyo kofia ndio inamfanya awe alivyo, huo mfumo wa mwenyekiti ccm equals raisi wa Tanzania ndio inamfanya awe juu ya kila kitu, hakuna wa kumwajibisha
 
Na mfumo CCM umewekwa na nani?
 
Comments reserved
 
Hao waalimu tulionao hawawezi kubadili kitu yapasa mfumo mzima ubadilike.
 
Huo mfumo wa CCM unaongozwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…