Tatizo sio Mama Samia, kuna tatizo kubwa zaidi kabla yake, tatizo ni mfumo CCM.
Huu mfumo ndio uliomweka Mama alipo na ndio unaompa kiburi na dharau.
Hata Philipo Mpango akiwa rais leo tutaendelea kushuhudia hovyo iliyopo.
Tuuwe huu mfumo CCM kwanza.

Tatizo ni katibatatizo ni mfumo CCM.
Tatizo sio Mama Samia, kuna tatizo kubwa zaidi kabla yake, tatizo ni mfumo CCM.
Huu mfumo ndio uliomweka Mama alipo na ndio unaompa kiburi na dharau.
Hata Philipo Mpango akiwa rais leo tutaendelea kushuhudia hovyo iliyopo.
Tuuwe huu mfumo CCM kwanza.
Miaka 16 unarisiti nani Kenge
Ina maana hana akili?Tatizo sio Mama Samia, kuna tatizo kubwa zaidi kabla yake, tatizo ni mfumo CCM.
Huu mfumo ndio uliomweka Mama alipo na ndio unaompa kiburi na dharau.
Hata Philipo Mpango akiwa rais leo tutaendelea kushuhudia hovyo iliyopo.
Tuuwe huu mfumo CCM kwanza jamani!
Incompetent Mama of Tanzania.Kuna word linapata nguvu sana hivi sasa COMPETENT na INCOMPETENT, chagua linalofaa alafu liweke kwa muhusika!.
katiba ya CCMTatizo ni katiba
Toa ujinga, Mwnyekiti wa CCM ndo RAISI wa nchi halafu unasema ni mfumo?π π are you normal??Tatizo sio Mama Samia, kuna tatizo kubwa zaidi kabla yake, tatizo ni mfumo CCM.
Huu mfumo ndio uliomweka Mama alipo na ndio unaompa kiburi na dharau.
Hata Philipo Mpango akiwa rais leo tutaendelea kushuhudia hovyo iliyopo.
Tuuwe huu mfumo CCM kwanza jamani!
Level waliofikia haivumiliki tenaHivi ni kweli kwamba wamekuwa wa hovyo kiasi hicho ?
No Reforms No Election ndio jibu.Tatizo sio Mama Samia, kuna tatizo kubwa zaidi kabla yake, tatizo ni mfumo CCM.
Huu mfumo ndio uliomweka Mama alipo na ndio unaompa kiburi na dharau.
Hata Philipo Mpango akiwa rais leo tutaendelea kushuhudia hovyo iliyopo.
Tuuwe huu mfumo CCM kwanza jamani!
Soma hoja yangu na uelewe kabla ya kuweka ujinga hapa JF.Toa ujinga, Mwnyekiti wa CCM ndo RAISI wa nchi halafu unasema ni mfumo?π π are you normal??
Tatizo sio Mama Samia, kuna tatizo kubwa zaidi kabla yake, tatizo ni mfumo CCM.
Huu mfumo ndio uliomweka Mama alipo na ndio unaompa kiburi na dharau.
Hata Philipo Mpango akiwa rais leo tutaendelea kushuhudia hovyo iliyopo.
Tuuwe huu mfumo CCM kwanza jamani!
Hii katuni ni "Made in Kenya" au...