Gaitani Emanuel
Member
- Jun 27, 2012
- 5
- 1
Ndugu zangu wa Jf ningependa kufahamu TANESCO wanatumia vigezo gani kusambaza umeme, Kijini kwtu wamepitsha nguzo nakupeleka umeme Vijiji vya jirani. Tulipo uliza kwann sisi hatukupewa huduma hiyo mhimu, TANESCO wakasema sisi hahusiki. Je tufanyeje ili nasisi tuweze kusambaziwa Umeme kijin kwetu?