Jamani spika ni muoga au!?

one`s

New Member
Feb 28, 2011
3
0
Mwanzo spika wa bunge letu Tanzania alisema majibu ama maelezo ya mheshimiwa mbunge wa Arusha Godbless Lema hatayatoa hadharani kwa sababu anatakiwa ayalete kwa maandishi ko zitakaa kamati zao kama kawaida yao na sasa kuna taarifa kwamba atayatoa hadharani tena sasa ni nini kinafanyika juu ya hili ni uoga ama? nisaidieni wana jamaiiii.
 
the good thing ni kwamba hawezi kuyachakachua coz majibu na vielelezo vyote vinajulikana! sasa yeye atoe gizani au mwangani, vichakani au bungeni,,,,hawezi kuchakachua majibu hayo coz yanafahamika!
 
Mamwonea huruma huyu mama. Mwanzo ilionekana kama blessing kumuweka mwanamke kuwa Spika, ila sasa hivi naona kama wamembambikia, huu sio wakati wake. Hili bunge ni kasheshe.
 
nduguuu wana JF huyuuuu mama anaongozwaaa na siii anaongoza kwaniii hamjuiiii hili,yeye anapelekeshwa kama remont controler
na hama maamuziii kama ya our former Honorable SAMUEL SITA na asipojibadilisha ataangukia puuwaa kwanii analeta UCCM ndanii
ya Bunge,kiukweliii Pinda alichemka na amepotea kwaniii amezungukwa na wenyee mafisadii hana pa kupumulia,tanzania bilaa misimamooo taifa litaangamia kwanii huyu Raisi ni msanii tuuu na inashangaza katika midaalo yakee anaongea vijembee tuu kama simsomii,inauma sanaaa na LAZIMAAA CHADEMA MADARAKANIII 2015 au ikibidii kupindua serikaliii kwani tumechokaaa
 
Back
Top Bottom