Jamani sisi wote ni mabalozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani sisi wote ni mabalozi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kwame Nkrumah, Jan 16, 2009.

 1. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Nilipata bahati ya kuhudhuria moja ya mikutano ya Muungwana ughaibuni, akashauri kwamba tusaidie kuwekeza nyumbani sisi wenyewe na pia tutafute wawekezaji.
  Basi siku moja akaja Mkulu Mkubwa kabisa wa mahali ninapoganga njaa, with all the hoopla, private jet, vice presidents and all that [ hii ni kampuni with 500 us billion turnover; 100,000 employees in US alone, with presence in about 40 other countries ] sitaitaja jana kwa sababu si msemaji wa kampuni, kibarua kisije kikaota majani. Basi naye katika town hall meeting akatoa email yake na kusema mtu mwenye swali LOLOTE amuandikie emai,
  Mimi nikaandika hivi

  " Is ....... looking to expand internationaly to Africa as well? Africa is becoming increasingly important player in the Banking and Insurance. Reforms there have liberalised African economies since the mid 1980s. And most state owned insurance companies are now on sale. A good example is the National Insurance company of Tanzania. Tax incentives are offered, including no Taxes for a period of Five years. Are we as a company looking to expand into Africa?"

  kweli jamaa akanijibu.{ lakini watakuwa ni wasaidizi wake }

  "Thank you for your email. ...... plans to grow rapidly internationally through organic growth and acquisitions, with a focus on select countries in Asia, Latin America and Europe. We are not looking to expand into Africa at this time."

  Najisifia kwamba nilijaribu, ingawa sikuwa na facts zote na all the info.
  Lakini kama watu at least 1000 nje wakifanya hivyo nina uhakika at least 2 businesses will at least seriously consider the idea. Fikiria labda kwa mfano nafasi za kazi zitakavyoongezeka, "wabeba maboksi" tutakavyobadilishiwa jina na kuitwa "wazalendo" LOL, Tax increase, wakulima watauza mazao mengi zaidi na vitu kama hivyo, Huu ulikuwa ni mtazamo wangu, in layman's terms ndiyo ulinisukuma kufanya hivi.
  Lakini ningefukuzwa kazi nimngemtafuta Muungwana . ha ha haa.
  Je wewe umewahi kufanya nini kusaidia nchi yako ?Uliwahi kukataa kutoa rushwa ulipoombwa? Uliwahi kukataa kuchota vijisenti ulipopata fursa? Ulienda kusoma shule ulipopata nafasi? Unapiga kura unapotakiwa? Je kura yako ni kwa kuangalia hoja?
   
  Last edited: Jan 16, 2009
Loading...