Jamani sikujua mapenzi mpaka ujipange

Jamani sikujua mapenzi mpaka ujipange

kamati

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
240
Reaction score
109
jamani nina mpenzi wangu ninampenda sana sasa nikamuahid kumpa 50000 at the end of the month sasa kwa bahati mbaya mpaka sasa mishahara bado yaani imefikia mpaka naona aibu kwani nahici kama namdanganya na leo ciku ya nne japo hanidai ila nafsi yangu inanisuta na nina hofu mpenzi wangu ataniona mswahili je nifanyeje kurudisha imani? Na hela cina mwenye hela anikope nikahonge
 
Kwani We jinsia gani?
Haijalishi ,mi nnazo
 
Kuwa wazi bhana unataka utupige mzinga hii weekend
 
kumbe hapa ndani kuna shirika la kusaidia vidume vya mbegu pesa ya kuhonga mademu mmmmh:sick::coffee:
 
Nipe namba yake ya 'tigo' pesa...
By the way, mdogo wako si alikuomba umuongezee hela ya ada ukamwambia kwa sasa una majukumu kibao?!!! Alafu wazee wako kule village si wanateseka sana baridi baada ya mablanketi kuchakaa na hawakununua meingine wakati wanadunduliza kukulipia ada? Jipange...
 
Back
Top Bottom