Interejensia yangu inasense kuwa hiyo vita ya mahari unapambana peke yako...yaani huyo binti yuko upande wa mama yake maana kama angekuwa upande wako hilo jambo lingekuwa rahisi sana...kwa kuwa naamini binti ana ushawishi mkubwa sana kwa mzazi wake huyo wa kike vile vile huyo binti hata ukija kuoa atakusumbua maana hana uwezo wa kufanya maamuzi makubwa hasa yanayogusa maisha yake kwa hivyo ndoa yenu itakuwa inaongozwa na mama yake akiwa kama director.....all in all wazazi tuache kuwafanya mabinti zetu kama mitaji...umasikini wako hauwezi kuisha kwa mahari ya binti bali kwa kufanya kazi kwa bidii na maarifa.....matokeo yake mtalea wajukuu wasio na baba mpaka bint atazeekea nyumbani....
wee nae bwegeee kweli, sasa wataka kuoa mwanamke ambaye anabeba mimba ata kabla ya kuolewa!!! wanaume wengine bwana
mwanamke yoyote anayebeba mimba kabla ya kuolewa ni mpumbavu na hastaili kuolewa na mwanaume wa ukweli. atakaeoa ujue nae hamnazo tuu.
hana shida ya kutafuta mwengine, yeye anapaswa kuendelea kungegeda tuu huyo mwanamke basi
Demu wako tu hajaamua hapo coz yeye ndo kakupenda,yeye ndo mwenye papuchi na yeye ndo mwenye ujauzito.
Aseme tu asante mama kwa kunilea bt am grown up nw i have to stand on my own two.
Kwann asimuoe na mimba kamjaza mwenyewe?????
hizo ni hadithi za zamani saivi ni jambo la kawaida tu shek weli bifo yuzi then ndo inafuata fasta
Kabanga, ndio mkuu nishapiga mimba kwa sasa wala sina mawazo kivile moyo wangu umetulia.
Mkuu nataman kumweka ndan lakin maneno anayotoa mama mkwe si mazur yanaweza yakamletea mikosi kwa binti yake