Jamani shemeji mchepuko ananiwazisha

Thread zinazoanzishwaga usiku wa manane huwa nakuwa mwoga sana kushauri!

Zimelimwa hekali 5 tu za mahindi. Kile kirobo kilichokua kimebaki watafanya mgawanyo kesho.
Na zitakua hatua nane nane.
 
Sasa naamini madhara ya BRN. Kwa akili hiyo ulipaswa kuishia la saba. Over
 

Duh nenda naona unajaribu kumkonyeza simba sjui kama atakuelewa
 
Unataka kufa kabla hujaitwa na mwenyezi Mungu?jaribu uone yatakayokupata,tena ukome kabisa bwana mdogo,hiyo ndo dhambi yako ya kwanza kufanya maishani,unatafuta balaa wewe na utalipata.
 
Chuo kikuu kile cha uganda sio
 
Nenda tu, utakuja kutuambia kama naye hajataka akuzini na wewe.....
 

hujielewi!
 
hujakua kiakili, kuanza kusex kwa mara ya kwnza after umemaliza form six it means bdo mtoto mdogo saaaaaana na ukimaliza chuo ndo utajua km hata huyo ulonae n sahihi kuoa au laaaa...kuoa si kitu cha mchezo kjana pata experience kwa kuzipitia na kujipima uwezo ktandan hapo chuo then utajua nn maana yake saiv hyo k moja ndo inakupagawiiiisha...usiende kwa hyo mume otherwise utakwisha na ukijifanya mnyonge kwnye haya mambo utaishia kutooa...hivi kijana umeenda jkt? maana vijana waliopita jkt nawaona sio waoga na wanyonge hv...in this world ukijifanya weak UTALIWA
 
GOD sees everything,even those which we hve hidden in our heart(secret),dini inatwambia ukisamehewa ulimwenguni hakika MUNGU atakusamehee.
 
sizani kama kweli una miaka 22 na upo chuo kwa sababu post yako haiendani kabisa na sifa hizo anyway kifo chema utakapo enda kumwambia jamaa kuwa umewahi zini na mke wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…