Jamani shemeji mchepuko ananiwazisha

Ukifika third year utakuwa ushakuwa kidogo na kujitambua....first year bado unanukia nukia maziwa ya form six...
 
Nasikoa dollar imeshika hadi 100 kwa dollar 1
 
Haya shosti Apologise Lady ebu comment hili suala la huyu jamaa mana simuelewi hivi
 
Utafumuliwa linda wewe. Shauri yako jifanye mtakatifu sana au jijute una mawazo sana. Ndo utajua mjin hakuna wanyama ila binaadamu ndo simba
 
Thread zinazoanzishwaga usiku wa manane huwa nakuwa mwoga sana kushauri!
 
wakati unamtafuta mume wake uwe tayari umeshaanza mazoezi ya kushika ukuta... ununue mafuta ya K-Y .,,,.... ununue kinga....

pia andaa hela ya sanduku la parapanda...... pia sanda na nguo ya kukuzikia........ na hela ya kulipia eneo la kukuzika......

karibu tena
 
Umtafute mtu umwambie kwamba nilizini na mkeo naomba unisamehe? Unatania au umeamua kuongea tu. Kwa nini mnapenda kuwatafutia watu kesi na kuharibu amani na furaha zao. Ukishamwambia unategemea kupewa pipi kijti au?
 
Halafu na wewe mtoa mada, kama ulikuwa na uhusiano na huyo dada Enzi hizo na sasa ameolewa. Kwann uwe na feelings zake. Acha utoto huo.. unatakiwa kukubali kuwa yule ni mke wa mtu na wewe tafuta wanachuo wenzio uanze nao uhusiano.
 

Mtoa mada wewe nina waswaa mkubwa na akili yako.....huku chuo kikuu ndo mnafundishwaga njia ya kuwaza ivo???Tafuta CW wewe semister inakaribia kukisha..epuka suply...fanya shule..mpu...zi wee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…