Jamani sasa nimeiamini internet explorer 10

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
1,505
Reaction score
649
Jamani sasa nimeiamini internet explorer 10 kwa speed ni noma kwenye windows 8
 
umeidownload au? Naitaka hyo. Hebu nipe maumjanja niipakue
 
Hilo dude linakuja na windows 8 ila kama una windows 7 mpaka ulidownload na unatakiwa kutumia windows ambayo ni Genuine ili uweze kulidownload baada ya hapo ukianza kuliinstall litahitaji kuongeza updates fulani muhimu hivyo litaanza kujipakulia hizo updates Download Internet Explorer 10
 
mm pc yangu inayo window 8. Kama ni hvyo itabid niachane na mozila
 
Jamani sasa nimeiamini internet explorer 10 kwa speed ni noma kwenye windows 8

Aaaah!! Niliweka windows 8 ila imenishinda kutumia bwana ,kwenye Graphics na Gadgets iko vizuri,Yani the whole interface kiujumla iko poa>Ila nimeshidwa kutumia Skype,pia Flashplayer inazingua cant watch Videos from youtube na sehemu zingine.Na pia haipo compatible na some of the softwares nazozitumia sana kama Oracle 11g client,Toad etc.Kwa kifupi imenichefua na kwa tetesi nilizozisika Microsoft anaipiga chini anakuja na Windows BLUE.
 

Inamaana utendaji kazi wa win8 hauko vizuri mpaka waamue kutoa aina nyingine ya window
 
Mh Huyu Mkuu Atupe Source Ya Tetesi Yakeee
 

Hebu jaribu windows 8 pro na pia hizo software unazotumia inabidi ziwe latest kwa hiyo tafuta software ambazo ni mpya. Na kuhusu hilo la microsoft kupiga windows 8 chini ni jipya labda kwako kwa sababu windows za nyuma nazo zilionekana kuwa na mapungufu aidha kwenye hardware au windows yenyewe. Pia hata technology nayo yaweza changia hebu fikiria computer hardware ya intel pentium 1 ilivyokuwa na ulinganishe na intel ya sasa hivi. Kwa hiyo, hiyo WINDOW BLUE uliyosema hutaitumia sasa hivi ila mpaka usubiri hata wakati wake utakapofika
 
unachokisema ni ukweli mkuu,ila lisemwalo lipo kama halipo laja,kwa jinsi ilivyonichefua siwezi kuitumia tena(mimi binafsi)
 
unachokisema ni ukweli mkuu,ila lisemwalo lipo kama halipo laja,kwa jinsi ilivyonichefua siwezi kuitumia tena(mimi binafsi)

Lakini kwa tatizo lako la kushindwa kuwatch youtube video ni ni kwako labda haujainstall flash player au ukiona vipi weka silver light. Mi huwa na-watch mpaka hope channel na hizo youtube videos. Halafu nakushauri uwe unapakua vitu kutoka official site.Mafaili ya mwaka 98 yapotezee
 
Kwa hilo usihofu mkuu mwenyezi Mungu amenijaalia hivi vitu navifahamu kwa kiasi chake. IT is my life,mimi ni Developer by Pro sema Windows 8 sijaipenda,nimeitumia for three days flashplayer imegoma kabisaaaa,skype yenyewe ilikubali ku-install sema huwezi kuitumia mpaka uende kwa application store yao microsoft naona hii kitu wameintroduce kwenye Windows 8 ndio skype inajidownload na kuinstall kama ilivyo kwa Ubuntu.Haya ukishamaliza kwenye matumizi sasa! kwanza skype yao haiko user-friendly yani inaboa mtu huwezi even to send n receive files! Adobe reader yenyewe ilikua tifu ku-instal,,Trust me mkuu
 

Mkuu sidhani kama usemayo ni ya kweli!, mimi binafsi nilipo install windows 8 nika install Skype, Adobe Reader XI na flash player ambazo nilikua nimeinstall kwenye windows 7 na zinafanya kazi bila wasiwasi kabisaa
 
nakubaliana na wewe 100% mkuu, win 8 wanasema ni user friendly lakini ukweli ni kuwa ni mbaya kuliko. unless upo on a touchscreen kama Surface Pro.
 
Mkuu sidhani kama usemayo ni ya kweli!, mimi binafsi nilipo install windows 8 nika install Skype, Adobe Reader XI na flash player ambazo nilikua nimeinstall kwenye windows 7 na zinafanya kazi bila wasiwasi kabisaa

Hebu mwambie mkuu
 
Ni tetesi tu mkuu nimezisikia sina uhakika,,ila sijaipenda windows 8
mkuu poe sana yaani mimi mpk sasa hakuna os ya microsoft ambayo nimeipenda kama hii window 8 yaani imekuwa bulit in na vitu vingi mf pdf reader,flash player ktk internet explorer,uwezo wa kusearch kam vile avafinf=d na aaplication zake nyingine nyingi tu nzuri
 
nakubaliana na wewe 100% mkuu, win 8 wanasema ni user friendly lakini ukweli ni kuwa ni mbaya kuliko. unless upo on a touchscreen kama Surface Pro.
sio kweli mkuu windo 8 ni zaidi ya user friendly yaani kila kitu kipo easy
 
watu wanayoiponda window 88 wenhi wao nimegundua hawajaimaster jinsi ya kuitumia iloa kama wangeimaster wasingeseam ni window mbaya ila kwangi mmi ni zaidi ya windo rahisi kutumia kuliko
 

Mkuu, ungetusaidia majina ya hizo official site ili tupakue nasisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…