Mihayo JF-Expert Member Joined Apr 12, 2010 Posts 268 Reaction score 63 Sep 4, 2011 #21 Kama Majungu vile.
2 2simamesote Senior Member Joined Jun 27, 2011 Posts 109 Reaction score 14 Sep 4, 2011 #22 CCM HAWANA TOFAUTI NA MLACHA, kuna siku uliandika hapa JF kua unagombea udiwani wa kata iliyo achwa wazi kwani ninyi wagombea hamjapewa ratiba?
CCM HAWANA TOFAUTI NA MLACHA, kuna siku uliandika hapa JF kua unagombea udiwani wa kata iliyo achwa wazi kwani ninyi wagombea hamjapewa ratiba?
kingxvi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 879 Reaction score 152 Sep 4, 2011 #23 sijaelewa hapa umeandika kulalamika,kutoa maoni au ni vipi?
mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 Sep 4, 2011 #24 Ngoja nipite labda nikirudi baadae somo litaeleweka.