Jamani Prof. Mukandara anaitafuna UDSM


Watu ambao appeals zao zilitoswa na Senate utawajua kwa comments zao tu...
 
Jamana ana ghorofa lake makongo juu kama ikulu ya magogoni,na ana Benz S 550 mpk imeingia brbrn mwaka 2007 alitumia 140M, unategemea nani kwa mtu mwenye ukwasi wa namna hiyo?apande gari mpk kiziba na kurudi?ye ndege tu
 
akiwa kwao yupo nje ya ofisi kwa shughuli binafsi, hapaswi kutumia gari la serikali, wala mpishi au mlinzi anayelipwa na serikali. haya ndiyo matumizi mabaya ya rasilimali za umma.
 
ni shangingi lake binafsi au la chuo? na je, ni wapishi wake binafsi au wa chuo? kama ni la chuo hafai na ndiyo wanaturudisha nyuma hawa. kama la kwake binafsi then nakushauri usifuatilie maisha binafsi ya mtu.

Shangingi ni lake binafsi. Nyumba ni yake binafsi. Hao wanaomfuatafuata hawana jipya. Mlitaka Professor mzima atembelee beetle au akae kwenye magofu ya chuo? Kwanza vitu vyote alivipata kabla hajawa VC. Waambie mkuu. Waache ushamba wafanye kazi kwa bidii nao wajenge nymba zao na watembelee magari mazuri
 
Ni ishomire yule,si unajua wahaya wanavyopenda mapompasi.......
Kikwete ni Mhaya mbona anapenda Ulaya kuliko Chalinze? Chenge anayefulia nguo Ulaya ni Mhaya? Mafisadi wote wanaotajwa ni Wahaya? Muangalie mtu na kasoro zake siyo kabila lake. Jitambilshe basi nawewe tujue kabila lako tukwambie kasoro zenu. Kuna ambao wakipata pesa cha kwanza ni kutafuta mwanamke au wanawake wa ziada hata kama wameoa. Wengine wanaongeza ng'ombe. Wengine wanasusa kwenda kwao maana siyo pa hadhi yao tena. Wengine hawawezi kuoa makabila yao kwa sababu wameeendelea,n.k. Wewe uko kundi gani?
 
Hiyo Avatar ina hatimiliki. Shauri yako utafungwa!!!!
 
siyo COET tu bali amesambaa mpaka kwenye constituent Colleges! kila kona ni vibaraka wake waliojaa dharau na majivuno! wasomi wetu wengi ni "wajinga"bado!
Hivi mnajua wakuu au watawala wa vyuo wanavyopatikana au kila mwenye dhamana ni lazima atuhumiwe? Mkandara binafsi hana madaraka ya kumteua au kumuajiri mtu anayemtaka yeye. Kuna checks and balances katika hilo. Jielimisheni kwanza kabla hamjaja na un-informed allegations.
 
Unajua faculty ya bussiness administration..aka bba
nenda kaulize open university kuhusu prof mbwete na account ya bba..anakula kama anakufa kesho mwanawane mbaya zaidi pesa ikiingia mule anaomba mkopo wa million 100 kwa miezi 8-10 na kurudisha ...
 
hivi na jakaya mrisho kikwete ni m-haya? Amatusi liyumba ni m-haya? Edward lowassa ni m-haya?

j kikwete ni mchaga tena ukoo wa marealle kama amuamini fwatilien!!!

Lowassa ni mchaaga pyuaaaaaaaa kama amuamini ulizeni fred.....utajiri umewakimbiza
 
Unajua faculty ya bussiness administration..aka bba
nenda kaulize open university kuhusu prof mbwete na account ya bba..anakula kama anakufa kesho mwanawane mbaya zaidi pesa ikiingia mule anaomba mkopo wa million 100 kwa miezi 8-10 na kurudisha ...
Kama mnayajua yote haya je, JF ndiyo mahali pekee pa kuyatoa. Nenda kwa Mwenyekiti wa Council ya Chuo husika, nenda kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ukaguzi (Audit Committee), nenda TAKUKURU, peleka taarifa kwenye Tume ya Maadili ya Viongozi, nenda hata kwa Paroko au Shehe wa mtuhumiwa, n.k. Kama unayosema ni kweli huko kote utakosa mtu wa kuzifanyia kazi taarifa zako? Ni dalili za woga na unafiki kusemea gizani.
 
Jamana ana ghorofa lake makongo juu kama ikulu ya magogoni,na ana Benz S 550 mpk imeingia brbrn mwaka 2007 alitumia 140M, unategemea nani kwa mtu mwenye ukwasi wa namna hiyo?apande gari mpk kiziba na kurudi?ye ndege tu

Nitamshauri kaka aende kwa basi, preferably, MOHAMED TRANS.
 

Mkuu naona unajitahidi, lakini ujumbe unafika taratibu. Ipo siku moja yatafumka na yatajulikana zaidi. Naimani mleta thread yuko busy kutafuta data zaidi. Sikuwahi kufikiria hili hadi nilipokonyezwa na jamaa mmoja yuko hapo UDSM sikuamini, what I can promise you now is that! I am doing my homework, mzigo ukiwa tayari nitamwaga wote jamvini kama sehemu ya kuanzia. Kwa sasa tuendelee kufanya homework zetu tuje na data za kutosha.
 

I though wewe kama Associate Professor ulikuja ku-present list ya benefits of which he is entitled....anyway, endeleeni kujivua gamba
 
Cjui wahaya mtawaandama mpaka lini. Mukandara mwenyewe hana mamlaka ya kupanga hata bajeti yoyote ya chuo alaf apa anatwishwa zigo la uhujumu uchumi_chuo! Au mnataka afande kama Pinda aliyekataa shangingi na akaomba apewe mtu mwingne eti ndo kupunguza ufisadi,huo ni udogo wa mawazo!
 
Baadhi ya Wana JF sasa munaanza kupoteza mwelekeo. Hamjisumbui hata kuhoji hoja!!
 
Acha majungu na wivu wewe, unapokuja na tread ya namna hiyo attach na ushahidi ueleweke jf is 4 deep n great thinkers umbea wako peleka kwingine.
 

Anategemea 30 mil za PPF, anawi mapema kulamba, asije akaumizwa na PPF:rip:
 
sioni ubaya kusafiri na wapishi na walinzi, sasa ulitaka akifika kwao akodi gari la kutembelea? acha hizo.

kama amekwenda kwao likizo inabidi atumie vitu vyake binafsi na kwa gharama zake. Watanzania tufikie mahari tuone kama tunahitahi umoja wa kitaifa tuwe na vipaumbele vya kitaifa.

Jitu linatumia kodi za walalahoi vibaya (kwa starehe zake) alafu mijitu mingine inasifia...... mpsyuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…