Bajeti ikitokaNauliza
wap huko jamaniWaziri husika alisema baada ya bajeti mpya kupangwa.
Ila mbn harakati za kiualimu zipo nyingi? Huku unasubiria ajira rasmi,tafuta shule ujiegemezs kidogo. Siku post zinatoka utasikia tu.
Hiyo ilikuwa ya uongo, ya mwaka janazimetangazwa juzi, na walimu wanatakiwa kuripoti kwenye vituo vyao kuanzia tarehe 1 may. kuna mtu alinionesha clip moja ilikuwa taarifa ya habari chanel ten juzi. tembelea website ya wizara walisema majina na mikoa wataweka huko
nawe uliiona pia? kumbe ya uongo?! okHiyo ilikuwa ya uongo, ya mwaka jana
Mawazo mazuri huko kwny ualimu kuyaanza maisha ni kugum sana cha muhimu tafuta kitu cha kukuingizia kipato uwe na akiba wakat ajira zinatokaWaziri husika alisema baada ya bajeti mpya kupangwa.
Ila mbn harakati za kiualimu zipo nyingi? Huku unasubiria ajira rasmi,tafuta shule ujiegemezs kidogo. Siku post zinatoka utasikia tu.