Jamani Phone Number eeeeeeeeeee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Phone Number eeeeeeeeeee

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by hermangoma, Jun 7, 2011.

 1. h

  hermangoma Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani naomba msaada wa kupata namba za Simu za watu wa USPS (United States Postal Services) - Dar-es-salaam. They hav my parcel, but I am here in Mwanza, no offices here, I don't know how to get my parcel Man!
  Help Help
   
 2. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  unajua nin hata mimi nilitumiwa money order na my pal wa state,wakashindwa wafanyaje,nikampostia order yake na kanitaarifu ameshaipata,hawa jamaa hawapo makin kabisa.
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Nimekuona sehemu na hii thread Rose akakujibu bado unaleta na huku??

  Kama wanaparcel yako na hauna mawasiliano nao umejuaje kama wanahiyo percel?? Acha kutuzuga hapa bana
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Hapa ni maloveeeee mambo ya phone namba peleka kwenye hoja mchanganyiko au matangazo madogo madogo.

  Halafu unaita News Alert kwenye jukwaa lisilohusika
   
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  mchape bakora!
   
 6. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Ni hivi USPS hawana ofisi DAR hata nchi yeyote EAST Africa. Wao wanafanya kazi na Post offices mfano Posta TZ. Kama una parcel naamini utakuwa na parcel number (mfano CJXXXXXXXXXXUS or LJXXXXXXXXXXXUS) ambayo utakuwa umeitumia kutrace hiyo parcel online. Tahadhali USPS parcel huweza kuchukua muda mfupi sana au mrefu kukufikia kutegemea na mode iliyotumiwa kutuma mfano priority expedieted au normal mail.

  Chakufanya i-trace tena online kujua parcel yako iko wapi. Chances ni kwamba itakuwa imekwana Posta au Customs Dar kutegemea na aina ya parcel. Karibu
   
Loading...