Nimezirejesha screenshot kwa mara nyingine mkuuMfano ya kwako inaonesha 54GB inamaana ni simu ya 64GB ila 10GB zimeshatumiwa na OEM kuweka vitu kama operating system, Bloatware etc
Na hio available storage ni ya kwako wewe sasa toka free storage aliokuachia OEM mpaka free storage uliyoiacha mwenyewe
Screenshot yake ilionyesha 8GB inamaana ni 16GB ambazo 8GB ni free na 8GB zimeshatumika tayari.
Simu za 8GB mara nyingi free storage inakuwa 4GB ama 5GB.
Seems kama mtoa mada amefuta screenshot zake
Mi natumia oppo R9 plusma wako poa sana, camera 16 kwa 16 mp,Oppo iko poa .m nishakua nayoA37s .upande was kamera wako poa sana