kama hutki ushauri wa kubadili engine au kuuza ipeleke ubungo kwa mzee wa upako itapona.
nozzlekwenye Nozeri
kaka hata mimi nna honda crv kimeo icho nimepeleka kwa fundi kaikagua kanambia nibadilishe petrol filter yangu ikiwa kwenye mwendo inabadili gia kuwa free then inarudi kwenye D kama vile wese limekata na imetokea baada ya kujaza full tank nkaisi labda mafuta machafu au nini
Nenda pale kigogo kama upo dar kuna mafundi watafanya diagnostics kwa kutumia diagnostics kit. Gari kama hiyo sio ya kupeleka kwa amfundi wa kubuni buni vitu. ukute tatizo ni dogo tu itaonyesha kwen hiyo kit.
Halafu unapenda ushauri kisha hutaki tena wa kuiuza? hahahahaaa
Jamani gari aina ya opa D4 inanizimikia ukiweka kwenye D , kwa yeyote alikumbuna na tatizo hili anipe msaada wa kina au fundi wa Magari ya kisasa kama haya .Nimebadilisaha pump ya mafuta,plug na nimeweka mafuta aina ya engine cleaner ili yasafishe kama kuna uchafu kwenye Nozeri lkn bado.
Ukiweka kwenye D inazimika na hii inatokea mara moja moja sana,tunauhaba wa Mafundi wa magari wa kisasa TAnzania ndo maana watu wengine waziogopa Engine za kisasa kama hiyo.
NB🙂
Ushauri wenu naomba usiwe ni kubadilisha Engine na kuuza.Asante.
kaka hata mimi nna honda crv kimeo icho nimepeleka kwa fundi kaikagua kanambia nibadilishe petrol filter yangu ikiwa kwenye mwendo inabadili gia kuwa free then inarudi kwenye D kama vile wese limekata na imetokea baada ya kujaza full tank nkaisi labda mafuta machafu au nini
mtoa mada kama nilivokueleza nami gari yangu inatatizo kama lako nimetola kuchek umeme walichofanya ni ku desconect alarm tu na sasa gari iko poa kabida nimetest hadi bagamoyo haijaleta tatizo tena, na wala si gearbox kama walivokushauri hapo
Nenda pale kigogo kama upo dar kuna mafundi watafanya diagnostics kwa kutumia diagnostics kit. Gari kama hiyo sio ya kupeleka kwa amfundi wa kubuni buni vitu. ukute tatizo ni dogo tu itaonyesha kwen hiyo kit.
Halafu unapenda ushauri kisha hutaki tena wa kuiuza? hahahahaaa
,nyie nyote pelekeni kwa mafundi sahihi wenye vifaa na si wa kupiga ramli kama hao mloapelekea. kuna vifaa vya kuscan na kukwambia wapi tatizo lipo na waweza kuta tatizo ni dogo tu. wewe wa honda nahisi ni gear box ina shida. mngekuwa arusha mngepata kutengeneza magari yenu na yakapona. kuna mtu ni fundi wa uhakika na anayo diagnostic machine ya magari. anatengeneza magearbox ya aina zote zikiwemo automatic. kama mko arusha nambyake ni 0787175217 ni kijana mstaarabu sana so atawasaidia. mkimkosa kwa hiyo mseme niwape nyingine. au waweza enda direct pale Ricks then ulizia fundi wa magari. is just there