Mwanahisa JF-Expert Member Joined Jun 29, 2012 Posts 1,382 Reaction score 515 Sep 10, 2012 #21 Huyu mshauri wa Obama ni kiboko, Hii style yao yakujichanganya na watu wa chini naipenda sana. Yani tuko pamoja kama wamoja safi.
Huyu mshauri wa Obama ni kiboko, Hii style yao yakujichanganya na watu wa chini naipenda sana. Yani tuko pamoja kama wamoja safi.
Blaine JF-Expert Member Joined Jan 11, 2012 Posts 2,259 Reaction score 1,657 Sep 10, 2012 #22 Nyani Ngabu said: Homo..? Click to expand... hivi wanachuo pale UDSM wanavyobebana 2 in a bed inaashiria nini??
Nyani Ngabu said: Homo..? Click to expand... hivi wanachuo pale UDSM wanavyobebana 2 in a bed inaashiria nini??
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,610 Reaction score 64,460 Sep 10, 2012 #23 watu wengine wananiudhi kama nini vile.