Jamani nyuma raha!!! tena RAHA kweli kweli asikwambie mtu.. nyuma raha .. wachanipasifie, nisipo pasifia atapasifia nani tena, yeyote mwenye kuujua VIZURI UTAMU wa nyuma!!... hebu kumbuka hapo nyuma .. soda ilikuwa Sh. 50/= mafuta ya kula robo sh. 100/= sabuni ya kipande sh. 30/=, unga robo sh. 150/= ......... acha tu huko nyuma.. we acha tu!!
mimi naona mbele ndio raha ebu acha nipasifie,mbele raha jamani,sasa hivi soda 600 lakin ni rais sana kupata hiyo ela,nyuma ata siyo raha acha nipakandie,nyuma soda ilikuwa 50 lakin kuipata hiyo 50 ilikuwa shuguli
Mm nyuma na mbele naona sawa sababu nyuma bei ilikuwa chin na hela ilikuwa na thaman kubwa ila kuipata mbinde, mbele vitu bei juu hela imeshuka thaman ila kuipata ni simple
Mm nyuma na mbele naona sawa sababu nyuma bei ilikuwa chin na hela ilikuwa na thaman kubwa ila kuipata mbinde, mbele vitu bei juu hela imeshuka thaman ila kuipata ni simple