Jamani nyege mbaya na zimewatesa na kuwaumbua wengi, fedheha ndani ya nyumba na aibu hata kwa jamii kwenye taasisi nyeti hata serikalini kote nyege imewaumbua watu na kuwaharibia wengi
Tumesoma na kuona live au kwenye vyombo vya habari watu wanaoheshimika mno wakiumbuka kwa ajili ya nyege maprofesa vyuoni wamepasisha watoto wa kike wasio na uwezo kisa nyege, nafasi nyeti kazini wamepewa wasio na uwezo kisa nyege, kuna wafungwa wengi magerezani wamefungwa kutokana na nyege walibaka..familia zimesambaratika matajiri wamepoteza utajiri wao watu wamefukuzwa kazi kisa nyege...ajali zimetokea vifo vimetokea watu wamepoteza vitu vya thamani kisa nyege...!
Nyege mbaya sana hebu tusimulie nawe au changia uzoefu wako kuhusiana na nyege

Kweli wewe Jembe....umetisha.Nyege zina kulazimu kusubiri mpaka bar ifungwe, nyege zina kulazimu kusaidia kukusanya viti bar
ha haaa haaa uwiii nimecheka mi jamani,mbavu zangu mie
Kuna tofauti kati ya nyege na fikra za tamaa. Kuna matukio mengine na mengi tu chanzo ni tamaa na sio nyege. Hebu tafakari zaidi