Jamani nokia x2

Jamani nokia x2

Robert mp

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
200
Reaction score
21
Wakuu naomba msaada simu yangu ni nokia x2 ina tatizo la m2 akinipigia au kuni2mia sms inajizima yenyewe,ila nikipiga mm safi.msaada jamani
 
ifanyie restore,
kama password unazijua kama huzijui, ni 12345
kama ulinunua kitaa ukaona password znagoma ujue wali badirisha wajanja, ila ifanyie restore!
 
ifanyie restore,
kama password unazijua kama huzijui, ni 12345
kama ulinunua kitaa ukaona password znagoma ujue wali badirisha wajanja, ila ifanyie restore!
kaka nimeifanyia restore ila bado inaendelea kufanya hivyohivyo.sijui sasa itakuwa tatizo nini?
 
Back
Top Bottom