Jamani nna hamuuuu

Naona maana ya kuwa great thinker inapotea, madogo wa Fb wamevamia kambi sasa... Haya endelea kuhamuka (si unamuda?)

Sentensi yenyewe fupi mnakuwa na hasira!
Haya basi nna hamu ya kuona Zambia wanshinda leo!
Nna hamu ya kuona vingozi Wa nchii hii wanatimiza ahadi zao!
Jamani Kiswahili sio kigumu hivyo! Hamkusoma tungo tata!
nna hamu ya kuona waziri fulani akichimba dawa katikati ya safari.
 
Under 18 nini bana!
Malizia sentensi kwa style uitakayo!
Nima hamu ya kinywa mbege
 
Yaani we acha tu!

Tokea niingie hapa sijawahi kuona uzi mtori kama huu. Unahamu ya nini sasa?

1.0 Bia
2.0 Kitimoto
3.0 Kupiga/kupigwa nao
4.0 Ya kuingia chit chat kwa kuwa ulizoea jukwaa la siasa tu?

Ni mtazamo tu.
 
I could be brought ma brother he just came out from jail must be right person you are look at
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom