jamani njooni tuzungumze ukweli.

Una maana gani unaposema 'kuvumilia'? 1. kusubiri kwa muda fulani ambao unakubalika kabla afya haijateteleka, 2. kutokupata kabisa kwa kipindi kirefu labda mpaka kuondoka duniani. Halafu je hivyo vitu vinanafanana? au vinakaa kwenye fungu lipi katika masuala ya social life ya mwanadamu? Majibu ni kwamba hayo mambo ni needs za mwanadamu ambayo mengine ni basic na mengine sio. Sasa kwa mujibu wa Maslow's hierarchy of needs hayo yote ni basic kwa mwanadamu. Ingawaje hiyo namba mbili kwenye swali lako huwa imefichika kwenye basic needs hivyo ni rahisi kuwekwa kwenye psychological needs. Kwa mujibu wa pyramid hii kama ilivyo na maneno yanavyosomeka namba mbili unaweza kuisubirisha lakini sio kwa muda mrefu kwani na yenyewe ni need na uspoipata ndio mwanzo wa kuumwa magonjwa ya kisaikolojia.

Kwa kifupi kwa binadamu aliyekamilika hakuna cha kuvumilia hapo kwa maana kutokupata kabisa kwenye maisha yake.



source: Maslow's Hierarchy of Needs
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…