Jamani Nitapatawapi Hii T-Shirt?

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,311
Wakuu nimeguswa sana na haya maneno kwenye hii T-Shirt mwenye kujua zinapouzwa anijuze na mimi nisipitwe!
 
Kuna kingine kimeongezeka!

NO GAS ya kupikia


naskia inatarajiwa kupatkana kuanzia tar 10 sasa sijui kweli au propaganda!!!
 
Ingependeza sana kama watanzania tungevaa hii T-shirt on 9th December...............tumechoshwaaaaaaaaaa.
 
No employment.............
No president...............
No national team
 
tehe swafi sana zileteni kitaa tuzivae siku ya uhuru wa TANGANYIKA
 
Jamani kama na vingine vilivyoongezwa hapo ni sawa, si ndo tayari tumeuzwa?
 
Tunazivaa wakati wa uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…