Jamani nitalirudishaje Profile langu Insta..??

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
Habari humu…

Nimeshindwa ku access profile langu Instagram..

Inavyoelekea mtu kali hack..

Maana sipewi option ya if 'it was you ama wasn't you'' kama ambavyo unge expect Instagram inavyofanyaga baada ya ku lock profile.

inanitumia code ambayo ni simu ya zamani,sina access nayo tena...

Please nisaidiaeni kulirudisha profile maana kuna picha zangu za usichana,nisingependa zibaki kule..
 
Jokes aside, jaribu kuwasiliana na instagram watakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…