Jamani nishaurini, nile au nisile...?

Mtambuzi mimi nataka matokeo! Ulikula au hukula? Samahani nilichelewa kuona thread hii kwani nilikuwa nafuturu chakula fulani nakulaga mimi PakaJimmy na LiverpoolFC, kinaitwa nyagi. Haya nipe taarifa!

Nimekula mkuu Arushaone, japo kwa shingo upande... sasa hivi niko kwenye mghahawa wa Kichina na hapa pembeni niko na kabinti ka Kichina kanajichekesha chekesha kama kabinti Kakizaramo... naona kama vile kanajilengesha......
Sijui kama nitasalimika leo, na hivi nasafiri nako kwenda ZNZ....... Patachimbika aisee................LOL
 
Last edited by a moderator:
:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::becky::becky::becky::majani7::majani7::majani7:
 
Hahahaahahah! kaka Mtambuzi wakati naanza kusoma kichwa cha habari kuwa ule au usile , mm nikadhani unataka kumla huyo mwanamke wa kichina, lakini nilivyoendelea mbele ikabidi nicheke sana.

MM nakushauri kula tu.
 
Mie napenda boga na ua lake ati.

Sishindwi ng'o..... Na ngoja niwe mama yako utantambua we mtoto. Lol

he he heeee! wewe Husninyo tafadhali my dear, usiniharibie ndoa my dear, mimi ndo mama mwenye nyumba
 
Last edited by a moderator:

Mhhh....baba Ngina namba ulichukua!?? Ili kudumisha uhusiano wa kimataifa!??
 
Am here darling watu8, naona huyu Husninyo anataka kupindua nyumba yangu, shindwa kabisa....

tushamtuliza mbali dear...nakupenda sana darling wangu this weekend i want to take you out for dinner in one Chinese Restaurant downtown.
 
Last edited by a moderator:

kama kashata, mbatata na ufuta umekula sana hukupata maarifa kama wachina bora ule hivyo vyao uwe mjanja kama wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…