Fanyeni fasta basi, nile au nisile, mwenzenu nasubiriwa kikaoni hivoo................
Ni kweli mkuu, nimeulizia sukari wakanicheka..............Mkuu kunywa tu hiyo chai haina madhara ingawa sijui kama utaipenda ladha yake maana huwa hawaweki sukari...
Ni kweli mkuu, nimeulizia sukari wakanicheka..............
Lakini wenyewe wamedai eti wameniandalia hiyo makitu na kwa mila zao huandaliwa kwa mtu muhimu sana na wanayemthamini, sasa nisipokula si noumer?
Jamani niko kikazi na nina kikao na hawa jamaa jioni hii ambapo tukitoka tutakuw ana Dinner kwenye Chinese Restaurant
Kula meeeeen!Fanyeni fasta basi, nile au nisile, mwenzenu nasubiriwa kikaoni hivoo................
Jamani niko kikazi na nina kikao na hawa jamaa jioni hii ambapo tukitoka tutakuw ana Dinner kwenye Chinese Restaurant
Ni kweli mkuu, nimeulizia sukari wakanicheka..............
Lakini wenyewe wamedai eti wameniandalia hiyo makitu na kwa mila zao huandaliwa kwa mtu muhimu sana na wanayemthamini, sasa nisipokula si noumer?
Wakuu, niko huku Masaki Chole Road karibu na tpsf, nina kikao na kampuni moja ya Wachina, sasa huyu binti wa kichina kaniandalia Chai ya kichina yaani imeungwa na tu vijani tubichi na kaniletea tuvitu flani tumekaa kama tambi lakini kama tuna vijicho halafu vikavu ananiambia ni bites za kichina na kuna tuvitu flani vimefanana na tende lakini mwe navifananisha na mende hivi.....
Mh, mwenzenu hapa nimepatikana....
Niko chooni hivi sasa naweka hii post nasubiri mnijibu kabla sijarudi kwenye kikao, yaani muafrika niko peke yangu halafu nimezungukwa na Wachina watano.
Hebu gfsonwin, watu8, Asprin, snowhite, nivea, Lisa, Eiyer, cacico, Ruttashobolwa, madamu B, Paloma, KakaKiiza, Fidel80, Filipo, Kaizer, marejesho, amu, Mungi, Preta, sweetlady, FirstLady, nyumba kubwa, BADILI TABIA, Mwita Maranya, Nyamayao lara 1 na wale wanaojua menu za kichina waje hapa kunipa maushauri kabla sijala kharamu..............
heheheeee ukibugi hamia china meeenNita bugi meeen..............