Jamani nishaurini nikiona ulimi basi tatizo

zema21

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
619
Reaction score
257
wanajamvi naombeni mnishauri nifanyeje!
Mimi ni kijana mwenye miaka 26! si expert saana katika sector ya mapenzi! ila nina tatizo moja! huwa nikiona mwanamke ameng'ata ulimi wake! au ametoa ulimi nje huwa nasisimka saana na kumtamani!!
Nifanyeje kuweza kukabiliana na hiyo hali?
 
punguza au acha kabisa kupigwa BJ...hilo tatizo utakua umeondokana nalo
 
inaelekea wewe wapenda sana kulambwa koni hahaha. sasa kama unamtamani sii ukamuombe ule nae raha. wanawake wameombwa watongozwe.
 
Pole kijana.
Ushinde moyo.
Maliza malengo ya maisha uliyojiwekea, then tafuta wako wa kudumu ambaye atakuwa anajua tatio lako na jinsi ya kukuturn on, basi mambo yataenda sawa.
 
punguza au acha kabisa kupigwa BJ...hilo tatizo utakua umeondokana nalo

We mpanaaaa weweeeeeeeee!!!!! Kumbe na wewe mteja wa BJ!!!!!? NGOJA UNASIWE ULIMI WA MKE WA MTU!!!!!!!!!
 
Usiangalie wanawake mdomoni, HIZO MBONI ZA JICHO NDO PAZIA LENYEWE HILOOOO!!!!!!!!
 
wewe umesema ni expert wa mapenzi,hebu weka cv yako hapa katika masuala ya mapenzi tuone kama unasema kweli.
 
inaonekana unawaza sana kuhusu mapenzi nakushauri punguza na utimize kwanza malengo yako au kama uko tayari chukua jiko weka nyumbani maana ivo viburudisho vya nje vitakumaliza
 

Kwa mwanaume kuvutiwa na kitu fulani toka kwa mwanamke ni kitu cha kawaida. Kuna wengine wanavutiwa na umbile la namba nane, wengine namba sita, wengine wanawake wembamba, wengine wenye makalio ya wastani, wengine makubwa, wengine sura, wengine miguu, wengine rangi ya ngozi, usheshi nk na sisi wazee tabia na akili ya mwanamke!

Tatizo ulilonalo wewe ni kwamba hauvutiwi na hao bali unawatamani na mbaya zaidi ni tamaa dhidi ya kila unayemuona hali ambayo inaweza kukufanya kukosa kuwa na tabia zilizotulia.

Una mmchumba, GF au mke? Kama unaye, mtengenezee mazingira ya yeye kutambua kuwa unavutiwa na hali hiyo ili hamu yako uwe unaimalizia nyumbani, na kama huna jaribu kuwa na kiasi, utatamani wangapi?
 
BJ ni Blow Job wa wapi wewee aargh kwa kiswahili ni kunyonywa schlong (uboo), upunguze hiyo upone huo ugonjwa,
solution tape they mouth :tape:
 
Hamia uarabuni huko utaona macho tu!
 
We mpanaaaa weweeeeeeeee!!!!! Kumbe na wewe mteja wa BJ!!!!!? NGOJA UNASIWE ULIMI WA MKE WA MTU!!!!!!!!!

WE ACHAA TU, hata mie zamani nilikua nikiona ulimi basi HALI inaanza kuwa SI HALI....

sasa MKE WA MTU akinasa wakati wa BJ, si unachukua kisu ya OPERATION unauchonga vizuri mdomo wake kama unamenya EMBE NG'ONG'O vile...
 
Kwani unaugua tayari.Kama hujaupata basi mtongoze.Kama unao tayari pendelea kula vyakula vizuri
 
vp ukang'ata ulimi wako unasikiaje?
 
Kula sana supu ya Ulimi ili uutafsiri kwamba unaliwa na sio kipashio cha NYEGE ZAKO.Mtoto mdogo nyege gunia zima khaa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…