Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,662
Habari zenu humu ndani...Na pia samahanini kwasababu hii stori ni ndefu kidogo
One week ago wkt natoka safari na gari yangu ndogo majira ya sa kumi na mbili jioni, kwa mbele nikaona Mark X nyeusi imesimama halafu kuna mademu 2 wakali wamesimama nje huku gari imewasha hazard, wakanisimamisha kwa juhudi sana nikaogopa kusimama nikihofia uhalifu, nilivowapita na kufika mbele kdg, kuna roho ikaniambia nirudi, kweli nikarudi mpk pale walipo nikashuka, maongezi yakawa hivi, habari yako kaka, nikawajibu salama, ikabidi niwaulize wamekutwa na swaibu gani, wakaniambia wamepata pancha, spare tyre wanayo ila hawajui jinsi ya kubadilisha!
Kidume bila kudelay nikawaambia wafungue buti nikatoa triangle (reflector) nikaziegesha barabarani ili kuepusha ajali coz mahali penyewe ni pabaya, nikatoa jeki yangu na wheel spanner nikawabadilishia tairi fasta, yule dem mmoja akanipa businness card yake ila kwasababu kagiza kalikua kameanza kuingia wala sikuhangaika kuiangalia, akatoa pochi akataka anipe hela nikakataa, wakaniomba tuongozane, nikawatanguliza mbele mimi nyuma, tukaachana sehemu moja hivi njia panda kila mtu akaendelea na safari yake.
Nlivofika gheto kuichek hivi nakuta yule dem ni DC wa wilaya "X", nikampigia na kujitambulisha akafurahi sana, nikawauliza kama wamefika salam akanijibu ndio, akaanza kuniambia sijui wanaomba radhi kwa kunisumbua coz walisimamisha magari mengi sana pale yakawa hayasimami, akadai hakutumia gari ya Serikali kwasababu walitoka na rafiki yake kwa ajili ya matembezi ya mwisho wa wiki tu kwasababu ni mabest tangu shule na wanafanya kazi pamoja ambapo huyo dem best yake ni DAS wa Wilaya ambayo huyo dem ni mkuu wa Wilaya.
Jana kanipigia tena lkn maongezi yake siyaelewi, kwanza kaniuliza nafanya kazi gn, nikamwambia nafanya kazi ____ (jina kapuni), akaniuliza nimemaliza chuo mwaka gani, nikamwambia mwaka jana, nimesoma course gani, nikamjibu law. Akaniambia anasubiri aupokee Mwenge ukishapita Wilayani kwake anialike coz atakua ametulia, nikamtania naogopa kwenda kwa watu, eti akasema "usjali, mimi naishi peke yangu na dada wa kazi tu", sijaolewa, sina mchumba, khaa! Nikapigwa na butwaa...
Sasa wadau hebu nishaurini, nipige moyo konde nimsaundishe tu au anaweza akawa yuko na wakubwa labda ntajiaribia? I am totally confused...dem mkali kama yule atakosa mapedeshee kweli! kaahidi kuniwekea mafuta ya kwenda na kurudi nitakapokwenda kumsalimia...