Jamani nisaidieni kupata intenship

lukac

Senior Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
122
Reaction score
35
Mimi ni kijana wa kiume nimemaliza chuo kikuu cha Dodoma (Udom) mwaka 2012 na kupata LOWER SECOND (3.1) katika Bachelor of Commerce in Accounting (B.com Acc).Naombeni msaada wenu wa kunipatia sehemu ya kufanyia INTENSHIP.
Kwa mawasiliano namba zangu ni 0757 443396.Ahsanteni.
 
Mwaka jana mpaka mwaka huu mwaka huu upo nyumbani? Still unasaka internship na waliomaliza mwaka huu je? Mwaka mzima ulikuwa unafanya nini? Acha uvivu na kuaibisha chuo chenu kwani kulikuwa na ulazima wa kukitaja? Ushauri nenda wizara ya habari vijana utamaduni na michezo ulizia mkurugenzi wa vijana akija mwambie unataka kukopa pesa kwenye mfuko wa vijana atakupa amelekezo uchukue mkopo kutoka mfuko wa vijana usio na masharti ufanye biashara sio kila siku kuwazia kuajiriwa ama kama upo wilayan muone afisa vijana wa wilaya
 
Acha kumkatisha kijana tamaa.. kwani mwaka mmoja ki2 gani?.. kama aliamua kufanya mambo mengine ndo ashindwe kufanya? hujachelewa kaka internship utapata na kazi pia.. jaribu kupitia website maana siku hizi hata hizo internship ni kuapply tu kama kazi vile. Pamoja sana..
 

Nashukuru ndugu kwa ushauri wako.
 
Maybe katafuta kazi sn bila mafanikio that's y kaona bora aombe internship... me nakushaur peleka cv audit firms huwa wanakubali volunteers.. pia jiandikishe nbaa upige pepa wkt unasubiria opportunities.. afu usikate tamaa.. never.. nina rafiki alimaliza 2010..kazi amna akaamua
 
Akaamua asome mba.. then last month kapata kaz nzur sn
 

Ushindwe wewe, mtu anaomba msaada we unakandia
 
kama upo dodoma naweza kukusaidia sehemu ya kujishikiza

Ndugu yangu mi naishi Dar so kwa huko Dodoma..labda uniambie ni Dodoma sehemu gani na kama kutakuwa na malipo ya kuweza kunisapoti kimaisha nitaweza kuja!
 

Nashukuru sana kwa ushauri wako ndugu yangu ..of course nimehangaika sana kutafuta kazi bila mafanikio afu ukizingatia mimi ni wa direct sina experince ndio maana nimeamua nitafute intenship.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…