Jamani nisaidieni hatua baada ya hatua

Jamani nisaidieni hatua baada ya hatua

fct lady

Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
22
Reaction score
4
Natumain hamjambo wana MMU.

Ila mi nina moja tu naomba mnelekeze jinsi navyoweza kusoma message alizotumiwa mchumba wangu na mtu yoyote kwa kutumia simu yangu.

Msaada please.
 
Mmmmmmh ngoja tumuelekeze yeye kwanza kusoma SMS zako unazotumiwa

Sawa Tee Bag.. ila fahamu kuwa zangu anazpata ila nkimwmbia anambie n system gan anayotumia kuzpata nami npate msg zake hataki kunambia..ndo maana nmeomba msaada
 
Sawa Tee Bag.. ila fahamu kuwa zangu anazpata ila nkimwmbia anambie n system gan anayotumia kuzpata nami npate msg zake hataki kunambia..ndo maana nmeomba msaada



Kwani jamaa ni kito.mbi?

Any way ngoja wataalam waje utasaidiwa mama
 
mwanaume wa hivo lazma ana madudu anayafanya, mi ntakuambia app ya kupata info za michepuko yake via PM...ila nikikupm usijibu kwa kuniquote nisijedakwa bureeee
cc utafiti ha ha ha valentine njema
 
Last edited by a moderator:
​utakuuuuuufwaaaa wwe kwa presha, acha kabisa huo u.pu.pu unaotaka kupaka
 
Naona unataka kufa kwa presha. Uaminifu hauko kwenye ndoa sembuse uchumba.
 
Napatikana Kaliakoo,Ntakupa Software Kwa Shilingi 40,000 Njoo Pm
 
Watu mnatafuta kufwa for no reason.........kwa nini kutafuta presha zisizo za lazima.......?.......umezaliwa nae........
 
hujiamini kwasababu wewe mwenyewe unayako nyuma ya pazia, ndo mana nafsi inakusuta
 
mchumba ? au kiboyfriend? ndoa unaitaka? hizo sms unataka mazuri ? ukijibu hayo maswali nakupa namna .. ila naomba uandae sumu kabisa au kamba
 
Back
Top Bottom