Ni mimi nini maana ndo hujantaja hapo...funguka tu mwaego!
yaani nimekukosa hadi imebidi nikuite kwa stail hii uliekwa kinyumba na wagogo nini? manake hao naskia wamekeketwa so wakikukamata ni full mkuno hadi kieleweke.
Hawaniwezi nilikuwa pande nyingi A-town, marangu,mwika n.k.................! hebu nipe mapya ya humu
Mangi usisahau ni wengi hatujatajwa. Ngoja nikafanye mazoezi mie.
Mangi usisahau ni wengi hatujatajwa. Ngoja nikafanye mazoezi mie.
mtaje basi jamani mbona hivyo lkn?
Aaaah! Liwalo na liwe ni na nii bhan...........
Lakini ngoja nimalizie kupanga ushahidi vizuri maana kuna majina yamegongana hapa na mimi nataka nitaje mmoja!
Kuwa mvumilivu!