Jamani niokoeni mwenzenu!

Heloo

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
4,391
3,402
jamani nipo mjini hapa morogoro nimekwama!
Sasa waungwana kama kuleta mada hapa nitakuwa nimekosea basi mtanisahihisha ila msinitie simanzi zaidi mana mpaka muda huu tokea nimefika nimechoka na hata ile kuandika sms kwenye simu mpaka kuchukua uamuzi huu mgumu nimepata tabu sana na imenibidi bila kupenda
Sasa bila kuwapotezea muda mwingi wa kusoma ujumbe wangu ni ivi...mimi ni mwanachuo mwaka wa pili katika chuo naomba nisikitaje kwa jili ya maadili...nikuchukua mchepuo wa( L.L.B)sasa leo hii muda wa saa 9 mchana niliamua kuja mjini na pia kuna pesa MAMA ilikuwa anitumie toka handeni na kupitia mahitaji kidogo sokoni ...sasa bada ya kufika mjini nikaona nitafute mahali patuli kidogo na huku nikiwa nasubilia iyo pesa itumwe...kweli mawasiliano na mama yakawa yanaendelea yeye ni nesi pale hospital ya wilaya...kama unavyojua huwezi kaa mahali njaa inauma na usiagize.bahati nzuri mfukoni nina elfu 3 sasa chakula kikaja na bavalia...katika kusubili mama atume nikajikuta naongezea kinywaji kingine...bada ya muda mama akaniambia amekaasana hapo wanapotuma pesa mtandao unasumbua ila AIRTEL IPO ILA WAO HAWANA pesa ya kutuma...yaani hao mawakala..sasa mimi mwanzo nilichukulia ni jambo dogo sana nikachukua simu na kuwapigia rafiki zangu wa karibu jamni nimechoka mwenye kusema nimechelewa kidogo mwenye kusema natania mwenye kusema subili kidogo nakurushia ...tukiacha hao pia nina kaka niamtumia sms na kupiga simu hajapokea na sms hajajibu si kawaida,jamani si muda watafunga hapa wamekataa hata kuacha simu,please mwenye elfu 4 ani pM then nimpe no sasa naumbuka dada yenu,hata nitakurudishia please,just help my dear,sasa kitu kingine kilichonishangaza hata wakatinaandika hapa ni muda tu mara nikituma mara connection was not reset sijui try again! IVYO nikawa nashindwa kutuma. I dont know what will happen this night but I believe someone out there will hear my CRY,JUST for now please!
 
mwana zuoni kweli uandishi wa hivi ndugu?

aisee nimechoka ghafla..

pole lakini kwa matatizo..!
 
mwana zuoni kweli uandishi wa hivi ndugu?

aisee nimechoka ghafla..

pole lakini kwa matatizo..!

nmeandikaje labda fafanua kidogo labda huena kweli nimekosea.
 
Utakulaje kabla ya kupata Hela.... usingekufa Kama ungevumilia kidogo... makosa yanatozwa... pata somo kidogo..
 
mhhh huna lolote ww SAA hizi??
labda kama ndio ulikuwa unatoka unaenda viwanja kwenye biashara zetu zileeeee mambo Leo yamekuendea kombo
 
Uandishi wako hauna mvuto, unatumia sana neno sasa bila ulazima, sehemu za kuweka r unaweka l, mpangilio wa mawazo yako kiuandishi hauna mtiririko unaoleta maana uliyokusudia
 
Watu wengine mna ujasiri. Yaani hujapata hella ushaagiza unaanza kula. Mmmmh. Tena ni mwanafunzi wa chuo daaah. Lakini ni fundisho sku nyingine uwe na self discipline
 
Hahha watu 100 x 4000 = 400000 maisha yanaendelea na hivi umesema we ni ke lazima pm zijae
Mjini hapa
 
Back
Top Bottom