Juma Maduka
New Member
- Sep 12, 2018
- 2
- 0
Friza yangu haigandishi msaada plz
Haipozi, haipoozi ni lafudhi tuHivi ni Haipozi au Haipoozi?????
Gesi imeisha kwenye compressor nenda kajazeFriza yangu haigandishi msaada plz
Msaada wa kiufunndi mkubwaNunua mpya,au ipeleke kwa fundi,unataka msaada gani mwengine mzee baba?.
asa siutafute fundi alicheki mkuu,au ukishaelekezwa utarekebisha mwenyewe?Msaada wa kiufunndi mkubwa