KingKipara
Member
- Aug 14, 2014
- 19
- 1
alikuwa mpenzi wangu miaka miwili iliyopita, akanitosa nikaendelea na maisha yangu Mungu si adhumani Jamaa kamvuruga akamzalisha mtoto mmoja akampiga chini,
karudi kwao kanikuta mi nipo tu sijaoa japo ninamrembo Wang tu bado tuna malengo!
tatizo anasumbua kuniomba msamaha kila siku ananisumbua kupiga simu sms kila saa nikambrock kabadili laini tena , keshaongea na demu Wangu Mara nyingi lakini wapi
huwa simjibu lakini sms zinaingia tu sio usiku sio mchana
tumeanza kugombana na dem Wangu kwa sababu ya Huyu Dada na mimi simtaki maana alinitosa vibaya kisa mi sina gari akaenda kwa mwenyewe nazo.
sasa nitumie njia gani
ananipasua kichwa jamani demu wangu kanuna tangu juzi sababu yake