Jamani nimefurahi sana

Asante sana jamani, bwana Makamee mimi nipo kijiji cha Mkiu wilaya ya Ludewa hapa njia panda ya kwenda Mlangali na Liganga.
Kuna wanawake wazuri huko nasikia
 
una roho ya karatasi?kama ndivyo changia mada za mapenzi tu siasa usijaribu.
 
Hongera sana na karibu ila sidhani kama wewe wa kwanza kijijini maana hata mie nipo kijijini
 
Kama sio mwalim mwenye degree, basi wewe ni polisi mwenye degree wamesambazwa wengi vjijin
 
Mkuu Pande Hizo Kuna Ardhi Bomba Sanaaaaaa! Naomba Kuwa Rafiki Yako Na Ntaku Pm Lakini Kama Hauruki Angani Maanaake Nyiee? Vp Mzee Bange Mzma?
 
Mkuu Pande Hizo Kuna Ardhi Bomba Sanaaaaaa! Naomba Kuwa Rafiki Yako Na Ntaku Pm Lakini Kama Hauruki Angani Maanaake Nyiee? Vp Mzee Bange Mzma?

Yupo, mzima sana tu
 
Isijeikawa ni mwenyeji uliyepigwa Ban, ukarudi kwa style hii. :focus:
 
Asante sana jamani, bwana Makamee mimi nipo kijiji cha Mkiu wilaya ya Ludewa hapa njia panda ya kwenda Mlangali na Liganga.
Hongera, umeamua kutumia jina la Kijiji!!!
 
wapo wale wanaoomba picha kwenye mada zote
 
Hongera zako kwa kuweza kutua jamvini pia karibu sana. Wasalimie wote hapo kijijini waambie BAK wa JF anawasalimia sana. Waambie umeiona sehemu ya kuingizia hivyo upo tayari kuwasaidia ili uwaonyeshe sehemu ya kuingizia na wao waweze kujiunga.

Kama unaogopa kusakamwa,kutukanwa na kukashifiwa basi Epuka yafuatayo:

1: Sema vibaya vyama vyoote lakini usikiongelee vibaya chama chetu pendwa
2:Usiisifie nchi yako hata siku moja hasa kwenye mada zinazohusu mambo ya ndani ya Tz, lakini kama ni Tz na nchi nyingine basi usijaribu kuikosoa.
3: Usimsifie Rais wa sasa wa nchi.

Hayo ni ya msingi sana, mengine wadau wataendelea kukufahamisha; KARIBU SANA JAMVINI.
 
Hongera zako kwa kuweza kutua jamvini pia karibu sana. Wasalimie wote hapo kijijini waambie BAK wa JF anawasalimia sana. Waambie umeiona sehemu ya kuingizia hivyo upo tayari kuwasaidia ili uwaonyeshe sehemu ya kuingizia na wao waweze kujiunga.

Hehehe......JF is never boring kwakweli!!!!!
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…