Jamani nijuzeni sifa za simu iphone | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani nijuzeni sifa za simu iphone

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Benard tabora, Oct 24, 2012.

 1. B

  Benard tabora Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman mi sijui simu za iphone naombeni mnioneshe japo picha yake sambamba na sifa zake.
   
 2. N

  Nyasiro Verified User

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
 3. i411

  i411 JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  iphone ni simu ambayo inafanya kazi kwa kutumia operating system ya IOS ambayo ndo software kama android kwenye sumsungs and htc. Lakini tofauti kati ya iphone na simu nyingine za smartphone ni kwamba IOS software is made by apple na iphone yenyewe inatengenezwa na apple ambayo inaifanya iwe na ufanisi na uaminifu zaidi ya simu nyingine zote zinazoitwa smartphone. Ndo maana sumsung akitoa kitu chake cha bei mbaya lazima kilinganishwa na iphone na nokia na yeye akitoa kitu chake cha bei mbaya lazima akilinganishe na iphone manake hakuna simu nyingine ambayo kampuni imekaa ikaitengeneza wenyewe software na simu zifanye kazi pamoja.

  Sumsung and the rest silo wabunifu walishashindwa kazi zamani sikuizi wanatengeneza tuu simu na software wanacopy ya google ambayo ni free "ANDROID". Nokia nawao wameshindwa karibia wanazama wameamua kuchukua software kutoka kwa microsoooooft. Tatizo la simu ambazo zinatumia operating system ya android na windows huwaga hazipo reliable zinacrush mara nyingi zaidi ya iphone na zinaitaji hadi utoe batriee ndo iwake kama s3 ya besti yangu mpaka anajilaumu kwanini alinunua. Tatizo la hawa jamaa wanaotumia software ya bure kutoka google ni kwamba hii software inatolewa standadized ili visimu vyote kuanzia vya $30 mpaka $1000 viweze kuitumia. Hapa inakuwa imedailutiwa sanaaa ndo maana smartphone hizi zinakuwa siyo za kuaminika sana masaa yote kama iphone
  Screen Shot 2012-10-24 at 7.35.27 alasiri.png
  HApo chini ni sumsung kabla ya iphone na baada ya iphone ujuwe watengeneza simu walikuwa wamelala
  Screen Shot 2012-08-25 at 9.02.06 asubuhi.png
   
 4. B

  Benard tabora Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru sana mkubwa nimeelewa vizuri sana
   
 5. M

  Mangilizi Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Imetulia sana
   
 6. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Weakness kubwa ya iphone hasa katika mazingira ya bongo ni kuwa programme zake nyingi nzuri ni za kununua. Ila bado ni simu stable sana sokoni na pia katika matumizi.
   
 7. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Somo umempa bila kusahau na chenga chenga nyingi ulizomwekea. Kama samsung kucopy android kutoka google na mengine mengi kama sijui kudilutiwa duuuh...
  Na nyingine kuwa hakuna kampuni inayotengeneza OS na simu pia je RIM wanafanyaje?
   
 8. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Ndo hapoo! Na hata hao apple scree na vfaaa vngne hawatengenez waoooo
   
 9. i411

  i411 JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  RIM they do for bb but they have been out of the game in the first world they do not consider them as getting anywere it has taken them like 3yrs to get their new software coming next year. Tusubirie tuone lakini basi lishawaacha labda waje na kitu kingine kidisrupt the current eco-systems za android,IOS na wp8
   
 10. leh

  leh JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  fanboy.................
   
 11. leh

  leh JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Benard taboraiphone ni simu ya kitozi. inawafaa masharo na mtu yeyote anayeona anataka ajulikane ana hela ya kutosha.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  I wasnt talking abt RIM being out of the game or anything of the kind as long as they're still in the industry and they make both hardware and softwares for their phones, that means something.
  Ofcourse RIM has lost many shares and has made big losses BB OS 10 is there final nail and if it wont make it I guess they will be totaly out of the game.
  Na plan yao ni kutoa licence iwe used by other companies kama android ilivyo. Wana aim itumike kwa samsung na other phone manufacturers. Pia wana aim itumike kwenye magari kwakuwa sasa hivi madevelopers wa apps wameanza itosa kutengeneza apps za BBerry.
  All in all apple iphone kachange direction ya phone industry kabisa na nadhani wengine wanaamini hakuna smart phone zaidi ya iphone hata kwenye matangazo yanayohusiana na sime iwe web browsing via simu, apps ili mradi inahusisha simu utakuta kuna picha ya iphone.
  Kwa upande wangu I am a nokia fan.
   
 13. i411

  i411 JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Nimekupata hapo
   
 14. S

  Soki JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nokia N8 unaweza kuilinganisha na iphone gani au sumsung ipi (I mean model)
   
 15. i411

  i411 JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  masharo na matozi wanatumia bb hawajajua bado kuna kitu iphone nazani wewe unachuki binafsi tuu uwezo mdogo kununua apple product but are the best in the business
   
Loading...