Kaka, dada, mama, baba, bibi na babu zangu
Natumaini wote wazima.................
Jamani nimekaa hapa masikiliza hizi nyimbo za zamani toka Uhuru FM nikakutana na huu wimbo wa zamani, unaimba
"Kisa alichonitenda Rehani oh sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mume wangu ili niishi naye.
Nimeachana na Mume wangu eh nimekwenda kwa Rehani,
baada ya muda si mrefu, asema niondoke sina tabia nzuri oh....................
Npmebaki najiuliza maswali mawili, Najua haya mambo yanatokea kwa watu.............
1. Hivi wanaume mnapotushawishi kuchukua uamuzi wa aina hii huwa mnamaanisha au ndo kutukejeli? :frown:
2. Sie kina dada, how comes tunaamini ahadi kama hizi?.......Hivi kweli tunadanganyika??

Chauro dada/kaka yangu, umri mdogo ni upi?
dunia sasa imani imekwisha......
roho za watu zimebadilika....
wala hakuna uaminifu tena....
si wanawake..si wanaume..
si watoto ..wala si vijana...
wote tunakwenda msamba msamba.....
KWENYE WATU KUMI BINADAMU MMOJA.......
The :A S crown-1:....Ishu ni kutokufuata rules za infii ndo inawapelekea hapo wanapo fika...hivi mtu ''UNASHAWISHIKAJE'' kumwacha bwanaako?......
kwa kweli hilo ndo tatizo kama watu wanaoa/olewa wakati bado mtu hayuko tayari....
au kuchanganya mali na upendo....
ndo maana matatizo kama haya yanatokea....
kwa kweli sidhani kama wanawake ni rahisi kudanganyika hivyo....(especially walio na ndoa zao)
ila saa nyingine ni tamaa tuu..
kama kweli unazingatia misingi yako ya ndoa huwezi ingia kwenye hayo matatizo...
Hili haswaaaa ndilo nemo aksante Babu kwa kuliweka vizuri. Na hapo ndipo ninaposhangaa kuwa sometimes inawezekana tunafanya maamuzi pasipo kufikiri akwa mapana..... tunaishia kuangalia tu kuwa ananipenda bila kufikiria kama atakuamini tena baada ya kuondoka kwa mumeo kwa sjili yake............Anaeshawishi mke amweche mme anaweza kuwa mwanzoni.....ila mke akishatoka kwa mmewe and on a secong thought, jamaa ataona uwezekano wa yeye pia kuachwa kama ikija better offer....
Anaeshawishi mke amweche mme anaweza kuwa mwanzoni.....ila mke akishatoka kwa mmewe and on a secong thought, jamaa ataona uwezekano wa yeye pia kuachwa kama ikija better offer....
The :A S crown-1:....Ishu ni kutokufuata rules za infii ndo inawapelekea hapo wanapo fika...
Kaka, dada, mama, baba, bibi na babu zangu
Natumaini wote wazima.................
Jamani nimekaa hapa masikiliza hizi nyimbo za zamani toka Uhuru FM nikakutana na huu wimbo wa zamani, unaimba
"Kisa alichonitenda Rehani oh sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mume wangu ili niishi naye.
Nimeachana na Mume wangu eh nimekwenda kwa Rehani,
baada ya muda si mrefu, asema niondoke sina tabia nzuri oh....................
Npmebaki najiuliza maswali mawili, Najua haya mambo yanatokea kwa watu.............
1. Hivi wanaume mnapotushawishi kuchukua uamuzi wa aina hii huwa mnamaanisha au ndo kutukejeli? :frown:
2. Sie kina dada, how comes tunaamini ahadi kama hizi?.......Hivi kweli tunadanganyika??
Hili haswaaaa ndilo nemo aksante Babu kwa kuliweka vizuri. Na hapo ndipo ninaposhangaa kuwa sometimes inawezekana tunafanya maamuzi pasipo kufikiri akwa mapana..... tunaishia kuangalia tu kuwa ananipenda bila kufikiria kama atakuamini tena baada ya kuondoka kwa mumeo kwa sjili yake............
Hivi na yule anayekushawishi umwache boyfriend wako kwa ajili yake haina tatizo??
Teamo hivi ni bwana au mme ha ha :A S 109:hivi mtu ''UNASHAWISHIKAJE'' kumwacha bwanaako?......
ha ha ha!Teamo hivi ni bwana au mme ha ha :A S 109:
MJ1..hapo kuna mambo mawili: Kushawishiwa na mtu (sio lazima awe mwanaume anyways) na kukubali kushawishiwa...
sasa yote yanaweza kuwa mazuri au mabaya kutegemea na preconditions....
Hivi kama upo kwenye mateso mtu akakushawishi njia bora ya kuondokana nayo, anakuwa amekukejeli...? (maana huo wimbo unazungumzia extreme/exceptional case) ambapo aliyeachana na mumewe akienda kukumbana na masaibu....
Lakini kama kuna problems,,, na kama hujaona problems kwenye 'makao mapya' huu ujumbe kwenye wimbo unakuwa immediately invalid
That said, kukubali kushawishiwa kuoaonyesha uzito wa hoja za mshawishi na SIO JAMBO BAYA hata kidogo....hivi tusingekuwa tunakubali kushawishiana, kumegana kungekuwepo kweli and eventually kuendeleza kizazi?
MJ1, hujakosea hata kidogo....move on!
:sleepy::sleepy::sleepy:MJ1..hapo kuna mambo mawili: Kushawishiwa na mtu (sio lazima awe mwanaume anyways) na kukubali kushawishiwa...
sasa yote yanaweza kuwa mazuri au mabaya kutegemea na preconditions....
Hivi kama upo kwenye mateso mtu akakushawishi njia bora ya kuondokana nayo, anakuwa amekukejeli...? (maana huo wimbo unazungumzia extreme/exceptional case) ambapo aliyeachana na mumewe akienda kukumbana na masaibu....
Lakini kama kuna problems,,, na kama hujaona problems kwenye 'makao mapya' huu ujumbe kwenye wimbo unakuwa immediately invalid
That said, kukubali kushawishiwa kuoaonyesha uzito wa hoja za mshawishi na SIO JAMBO BAYA hata kidogo....hivi tusingekuwa tunakubali kushawishiana, kumegana kungekuwepo kweli and eventually kuendeleza kizazi?
MJ1, hujakosea hata kidogo....move on!
Hili haswaaaa ndilo nemo aksante Babu kwa kuliweka vizuri. Na hapo ndipo ninaposhangaa kuwa sometimes inawezekana tunafanya maamuzi pasipo kufikiri akwa mapana..... tunaishia kuangalia tu kuwa ananipenda bila kufikiria kama atakuamini tena baada ya kuondoka kwa mumeo kwa sjili yake............
Hivi na yule anayekushawishi umwache boyfriend wako kwa ajili yake haina tatizo??
St?......mmmhh
Mjukuu hebu niukuulize: Huyo Rehani mpaka anakudanganya uachane na mumeo:
Mlikutana wapi? Mlikuwa mmesha do the needful? Mnakuwa mmenogewa?
kwani huu wimbo unazungumzia kwamba alimshawishi coz ya mateso/shida azipztazo? siujui wote lakini kwa kipande MJ1 alichokiweka inaonyesha walishawishiana kwa tamaa zao tu.