Jamani ni vije hapa...................?

kwa hiyo mwanajamiione unataka kunipa picha gani ninapoona post uliyoirusha saa sita na dakika tano''usiku wa giza?''
 
kaka, dada, mama, baba, bibi na babu zangu
natumaini wote wazima.................
jamani nimekaa hapa masikiliza hizi nyimbo za zamani toka uhuru fm nikakutana na huu wimbo wa zamani, unaimba
"kisa alichonitenda rehani oh sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mume wangu ili niishi naye.
nimeachana na mume wangu eh nimekwenda kwa rehani,
baada ya muda si mrefu, asema niondoke sina tabia nzuri oh....................

npmebaki najiuliza maswali mawili, najua haya mambo yanatokea kwa watu.............
1. Hivi wanaume mnapotushawishi kuchukua uamuzi wa aina hii huwa mnamaanisha au ndo kutukejeli? :frown:
2. Sie kina dada, how comes tunaamini ahadi kama hizi?.......hivi kweli tunadanganyika??

duh! Mwanamke wa ku fall kwenye huu mtego miaka hii lazima awe ameishia form ii a
 
Maty, na wewe ni muongo tu, usiwaseme sana wanaume.
Ulipokuja JF ulikuja na mbinu ya kutafuta mchumba mwenye ukimwi, tukajitokeza ukachukua e mail address zetu na namba za simu kisha ukatutelekeza bila kujibu lolote kuwa umetukubali au umetukataa.
Kwa hasira nikija kukuta anga zangu, nikakutongoza ukaingia laini, usidhani hata kidogo nitaku treat fairly, lazima ntakumistreat na kukuharibia kila jambo lako jema

Kha we baba kwa nini wanichukia hivyo mwana wa mwenzio? mi sijawahi tafuta mwenye ukimwi ingawa siwanyanyapai kumbuka mungu hapendi tubaki na vinyongo
 
Kaka, dada, mama, baba, bibi na babu zangu
Natumaini wote wazima.................
Jamani nimekaa hapa masikiliza hizi nyimbo za zamani toka Uhuru FM nikakutana na huu wimbo wa zamani, unaimba
"Kisa alichonitenda Rehani oh sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mume wangu ili niishi naye.
Nimeachana na Mume wangu eh nimekwenda kwa Rehani,
baada ya muda si mrefu, asema niondoke sina tabia nzuri oh....................

?[/SIZE][/FONT]
Mwanamke mwenye tabia nzuri hawezi kumwacha mumewe......kwa hiyo Rehani hapa alikua sa hihi kabsaa.....
 
Kwa mwanamke kukubali kuacha ndoa yake na kudanganyika ni tamaa tu zinakua zinamsumbua + ulimbukeni. Kwa wanaume mimi nafikiri wameumbwa kutudanganya na huwa wanafurahia kabisa hii kitu mtu anajua kabisa hana nia nzuri na wewe lakini atatumia kila mbinu mradi tu akurubuni baadae mwingine utamsikia kabisa ile ilikua ni mbinu ya kukutongozea

Maty, na wewe ni muongo tu, usiwaseme sana wanaume.
Ulipokuja JF ulikuja na mbinu ya kutafuta mchumba mwenye ukimwi, tukajitokeza ukachukua e mail address zetu na namba za simu kisha ukatutelekeza bila kujibu lolote kuwa umetukubali au umetukataa.
Kwa hasira nikija kukuta anga zangu, nikakutongoza ukaingia laini, usidhani hata kidogo nitaku treat fairly, lazima ntakumistreat na kukuharibia kila jambo lako jema

Kha we baba kwa nini wanichukia hivyo mwana wa mwenzio? mi sijawahi tafuta mwenye ukimwi ingawa siwanyanyapai kumbuka mungu hapendi tubaki na vinyongo

:pray2::pray2::pray2:
 
hivi kama mwanamke wa hivi ameamua kuchupukia nje, anampaje nafac tena huyo bwana kuongelea hata ndoa yake kwa umbaliiii tu achia mbali kumshawishi kumuwacha?
 
Akili na fikira zenu zinafanana,ndo maana huwa mnakuwa wepesi kuamini,bt cie ni njoko na tutaendelea kumipelekesha bana!
Najaribu kulifikiria kwa upana zaidi........na wale wababa wanaoacha wake zao kwa ajili ya nyumba ndogo sijui huwa inakuwaje!! Au kwa vile wanawake hatuko kama nyie kuwa umekuja kwangu nyumba ndogo umechuja bado nitakubeba tu??........
 
kwa hiyo mwanajamiione unataka kunipa picha gani ninapoona post uliyoirusha saa sita na dakika tano''usiku wa giza?''
TEamo umerudi??....Habari yako Banaaa

Mie siku hizi popo............(sio bawa lakini lol)
 
Kama wewe ni mke wa mtu, ukiona unatongozwa, jua huyo mtongozaji wako hana lolote zaidi ya kutaka KIPOMPWISO chako tu, akisha kumega anakuacha urudi kwa mumeo.
Ukijidai umepagawa na penzi rojorojo la jamaa huyu asiye mumeo, jua imekula kwako, unajitafutia kulia kilio cha mbwa koko
.......KIPOMPWISO!........Mwe:redfaces:
 
Mie nadhani wanawake saa nyingine wanakuwa na mawazo finyu hivi kweli mtu na akili zako timamu unashawishiwa na mwanaume wa nje eti uachane na mumeo na wewe unakubali hili mimi haliniingii vizuri kichwani kabisa. Huyo anakuona bora sababu anaiba ukiingia ndani kwake atakutenda kuliko hata wewe ulivyomtenda mumeo kwa kumuacha. Tuwe na akili zetu tusiwe tegemezi siku zote

Dena.........hili si kwamba limeimbwa tu kufurahisha wapenda muziki la hasha YANATOKEA na mie nimeshuhudia kwa mtu wa karibu sana........ actually wimbo huu nilipousikiliza jana ndio nikamkumbuka na huyu muhusika...........

Ninashindwa kutofautisha na ile ya mwanaume anayeacha/telekeza mkewe kwa utamu wa nyumba ndogo though
 
Kaka, dada, mama, baba, bibi na babu zangu
Natumaini wote wazima.................
Jamani nimekaa hapa masikiliza hizi nyimbo za zamani toka Uhuru FM nikakutana na huu wimbo wa zamani, unaimba
"Kisa alichonitenda Rehani oh sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mume wangu ili niishi naye.
Nimeachana na Mume wangu eh nimekwenda kwa Rehani,
baada ya muda si mrefu, asema niondoke sina tabia nzuri oh....................

Npmebaki najiuliza maswali mawili, Najua haya mambo yanatokea kwa watu.............
1. Hivi wanaume mnapotushawishi kuchukua uamuzi wa aina hii huwa mnamaanisha au ndo kutukejeli? :frown:
2. Sie kina dada, how comes tunaamini ahadi kama hizi?.......Hivi kweli tunadanganyika??

Kwakuwa akili zenu zina zina mda wakufanya kazi!wakati huwa zinakuwa mapumziko!!ndiyo maana mnaweza kudanganywa chochote na kuja kujutia baadae!!wakati zipo kazini!
 
Yaani MJ1....this is the same s**t am facing huku niliko kesi ya mganda bado iko palepale..ingawa sijaolewa lakini cha moto nakiona :redfaces::redfaces::redfaces:. Sijawahi kushawishiwa na mwanaume kama kipindi hii aisee halafu unajikuta saa nyingine unamuamini tu just like that kumbe hamna chochote uongo tu......nimebaki kutoa macho tu na kuhesabu siku nirudi kwetu fasta.....wana maneno matamu ya kumtoa nyoka pangoni ili mradi watimize malengo yao...
Ohooo Baby gal...bado tu??
Hebu sasa mkoromee, mtolee mijimimacho na kumkunjia juso....akhaa mwanaume gani huyo asojua kukataliwa??.................mwelekeze kwangu alete mahari kwanza.
 
Kwakuwa akili zenu zina zina mda wakufanya kazi!wakati huwa zinakuwa mapumziko!!ndiyo maana mnaweza kudanganywa chochote na kuja kujutia baadae!!wakati zipo kazini!
Na wale wanaume wanaotelekeza familia zao kwa utamu wa nyumba ndogo nao wana akili za kike au?
 
MJI haya mambo unaweza ukawa wewe au mimi tuna utambuzi zaidi ya wengine embu mfikirie binti aliyeolewa na umri mdogo hana uelewa wowote kuhusu ndoa halafu alivoingia ndani akakuta mambo sivyo huyu binti akakutana na kaka zetu wenye ushawishi nini kitatokea bado huwa napata shida kuelewa kwanini watu wasiwe wanasema ukweli na kama unampenda mtu naamini utamsaidia kwa njia yoyote ile na siyo kumuharibia maisha yake mwambie kabisa we ulishaolewa hapa tunapunguza stress

Dena.........hili si kwamba limeimbwa tu kufurahisha wapenda muziki la hasha YANATOKEA na mie nimeshuhudia kwa mtu wa karibu sana........ actually wimbo huu nilipousikiliza jana ndio nikamkumbuka na huyu muhusika...........

Ninashindwa kutofautisha na ile ya mwanaume anayeacha/telekeza mkewe kwa utamu wa nyumba ndogo though
 
MJI haya mambo unaweza ukawa wewe au mimi tuna utambuzi zaidi ya wengine embu mfikirie binti aliyeolewa na umri mdogo hana uelewa wowote kuhusu ndoa halafu alivoingia ndani akakuta mambo sivyo huyu binti akakutana na kaka zetu wenye ushawishi nini kitatokea bado huwa napata shida kuelewa kwanini watu wasiwe wanasema ukweli na kama unampenda mtu naamini utamsaidia kwa njia yoyote ile na siyo kumuharibia maisha yake mwambie kabisa we ulishaolewa hapa tunapunguza stress

Chauro dada/kaka yangu, umri mdogo ni upi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom