MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,576
Kaka, dada, mama, baba, bibi na babu zangu
Natumaini wote wazima.................
Jamani nimekaa hapa masikiliza hizi nyimbo za zamani toka Uhuru FM nikakutana na huu wimbo wa zamani, unaimba
"Kisa alichonitenda Rehani oh sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mume wangu ili niishi naye.
Nimeachana na Mume wangu eh nimekwenda kwa Rehani,
baada ya muda si mrefu, asema niondoke sina tabia nzuri oh....................
Npmebaki najiuliza maswali mawili, Najua haya mambo yanatokea kwa watu.............
1. Hivi wanaume mnapotushawishi kuchukua uamuzi wa aina hii huwa mnamaanisha au ndo kutukejeli? :frown:
2. Sie kina dada, how comes tunaamini ahadi kama hizi?.......Hivi kweli tunadanganyika??