Jamani ni vije hapa...................?

Kaka, dada, mama, baba, bibi na babu zangu
Natumaini wote wazima.................
Jamani nimekaa hapa masikiliza hizi nyimbo za zamani toka Uhuru FM nikakutana na huu wimbo wa zamani, unaimba
"Kisa alichonitenda Rehani oh sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mume wangu ili niishi naye.
Nimeachana na Mume wangu eh nimekwenda kwa Rehani,
baada ya muda si mrefu, asema niondoke sina tabia nzuri oh....................

Npmebaki najiuliza maswali mawili, Najua haya mambo yanatokea kwa watu.............
1. Hivi wanaume mnapotushawishi kuchukua uamuzi wa aina hii huwa mnamaanisha au ndo kutukejeli? :frown:
2. Sie kina dada, how comes tunaamini ahadi kama hizi?.......Hivi kweli tunadanganyika??

MwanaJamiione, ndio ujue zamani kulikuwa na vipaji vya muziki,
Huo Mziki una kisa kizuri sana na kiukweli hakuwa anaimbiwa mwanamke, kisa chenyewe ni hiki
Kundi la Wanamuziki wa Sikinde (DDC) walihama na kwenda OSS, kwa ahadi ya kupewa vitu vingi (Nyumba, magari na Mishahara mizuri) na Hugo kisima (Aliyekuwa mmiliki wa Bendi ya OSS) kwa hiyo hilo group la wanamuziki akiwemo huyo mwimbaki (Hasan Rahani bitchuka), walikaa kwenye hiyo bendi na hakukuwa na chochote walichopata na ndipo Bitchuka alipoimba huo wimbo (Kisa cha Rehani) kama fumbo kwamba Rehani (HUGO-OSS) amwatapeli

Sasa Wanamuziki waliobaki DDC walikuja na jibu la huo wimbo (ni Fumbo Pia), ulioimbwa na Cosmas Chidumule wimbo unaoitwa Mtoto akililia wembe
baadhi ya mashairi yake ni haya (mtoto akilili wembe)
Mtoto akililia wembe wacha umkate
atakapopata kidonda ndipo atakapouogopa
dada wetu yeye ulikwisha olewa
lakini kwa tamaa yako, ulikubali kuacha watoto wako, ukaivuruga na ndoa yako kwenda kuishi na bwana mwingine
vimekukuta vya kukuta, mwenyewe ukatutangazia majuto nimjukuu, tukusaidie nini sema,
nduguzo tulikuasa na mapema kwamba huyo bwana mdanganyifu ni hodari sana wa kuoa na kuacha
ukatuona sisi watu fitina, tunakuonea gere umepata bwana mwenye pesa
atakujengea Nyumba, atakununulia gari , sasa unajuta

part 2
usilie, unalia nini nawe ulisema umepata bwana ataekufaa maishani mwako halo dada halo sista

Chidumule: sisi tulijua nyumba hiyo ni chambo tu,
sio kwako peke yako dada, hata hao walioolewa kabla yako wakaachika , tunawaona mitaani kila siku, tunapanda ndao UDa na daladala, hakuna cha gari wala kibanda walicoambulia
pole dada umeyataka mwenyewe

Hizo nyimbo zinanikumbusha mbali sana wana JF
 
Na wewe kwa nini ukubali kumuacha mume wko bila sababu? Kwa nini kushikiwa akiri dada angu.
unajua, mi nikikudangaynya, na wewe ukadanganyika, , then mi nitakuona zuzu, tena nikisha ng'ata tu fasta nakula kona, naamini kitatokea kidume kama mimi kitakudanganya then utaniachia kovu.aku thitaki mie kuumizwa.bt may be it's nature, mi demu wangu anaandikiwa msg gd 9t, usiku wa manane ye bado haoni kama ndo misele inaanza, yy anaona sawa tu.na mbichwa wake unazid kuwa mkubwa. dada angu kaa chonjo najiandaa kudanganya kwani mamii wangu ananizingua.
Hakuna hata moja niloelewa hapa.................mwe hadi kipompwiso kimechoka kabisa.

Halafu huyo wifi yangu ndo unaemwambia mbichwa wake?!!...............
 
ushawishi huanza polepole kama unataka kunihamisha vile sema izo rule za ISC ngumu jamani
The Following 2 Users Say Thank You to Teamo For This Useful Post:

Chauro (Today),​

sasa mbona hujanitendea haki kwa SENX mama/baba?
 
Kaka, dada, mama, baba, bibi na babu zangu
Natumaini wote wazima.................
Jamani nimekaa hapa masikiliza hizi nyimbo za zamani toka Uhuru FM nikakutana na huu wimbo wa zamani, unaimba
"Kisa alichonitenda Rehani oh sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mume wangu ili niishi naye.
Nimeachana na Mume wangu eh nimekwenda kwa Rehani,
baada ya muda si mrefu, asema niondoke sina tabia nzuri oh....................

Npmebaki najiuliza maswali mawili, Najua haya mambo yanatokea kwa watu.............
1. Hivi wanaume mnapotushawishi kuchukua uamuzi wa aina hii huwa mnamaanisha au ndo kutukejeli? :frown:
2. Sie kina dada, how comes tunaamini ahadi kama hizi?.......Hivi kweli tunadanganyika??

...ndio maana mliambiwa "usiache mbachao kwa msala upitao!"
 
ndio hapo naona kama hawa awalinogewa wakajisahau wakitaka kuhalalisha kabisa....
gmrng my luv...jana kuna amhali ulisema umetokea guest, nitoe wacwac kwamba ulipeleka wale wageni wetu.

yeah luv ni wale waliokuja kwenye send off ya momburi, na hivi hatutaki msongamano si ndo niliwapeleka gest wala sio mbali!
 
Kaka, dada, mama, baba, bibi na babu zangu
Natumaini wote wazima.................
Jamani nimekaa hapa masikiliza hizi nyimbo za zamani toka Uhuru FM nikakutana na huu wimbo wa zamani, unaimba
"Kisa alichonitenda Rehani oh sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mume wangu ili niishi naye.
Nimeachana na Mume wangu eh nimekwenda kwa Rehani,
baada ya muda si mrefu, asema niondoke sina tabia nzuri oh....................

Npmebaki najiuliza maswali mawili, Najua haya mambo yanatokea kwa watu.............
1. Hivi wanaume mnapotushawishi kuchukua uamuzi wa aina hii huwa mnamaanisha au ndo kutukejeli? :frown:
2. Sie kina dada, how comes tunaamini ahadi kama hizi?.......Hivi kweli tunadanganyika??

Mjini hapa.... Mjini chuo kikuu..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom