We msukuma nini? maana siku mbili hizi kuna vitopic vilikuwa vinawaongelea wasukuma walivyomazoba wa kupenda, tena mwanamke mwenyewe kama mweupe ndio balaaa, hata unyayo utamlamba.
Piga moyo konde, make sure una kifua! Kwani Mkeo kapewa nje sasa anataka kuhamia, sasa chagua, kuendelea kumpenda (yaani kumsamehe kwa lolote utakaloconfirm hapo baadae juu ya hako katabia) AU kusitisha mapenzi (yaani kumpa talaka anayoitaka)
Akili kumkichwa bro na umshirikishe sana Mungu wako kwenye hayo maamuzi.
kwanza una umri gani,na huyo mkeo nae ana miaka maingapi?????au broo ashafanyiwa mambo ya kiswahili.....maana i don think hilo ni swala la kukaa chini na kuomba msaada
huyo mwanamke mwendawazimu kwahiyo alifanya hivyo ili umuulize???na wewe kumpenda mtu ndo hivyo kweli,we unajua alikua wapi na nani....mi naona nyie wote wawili mnahitaji brain check- up and psychological advice,you guys might have those problems
Kama wimbo wa bushoke vile aisee.
Usimpe bana,si mliahidiana kuvumiliana kwenye shida na raha.
30 years mke wangu ana25 na ninampenda sana. wala hajanifanyia mambo ya kiswahili nauhakika nahilo. niambie nifanyeje?
Wewe ndo unatatizo tena kubwa sana,huo sio upendo mwenzio anapotea we unatazama tu eti unampenda,kichwa cha nyumba?unamatatizo.
Sikia ndugu yangu kama nikimuacha nitaacha wangapi afu pia sipendi mtoto wangu alelewe na mzazi mmoja, napenda apate malezi ya wazazi wote wawili. swala si usukuma
......haaa! kweli wonders shall never cease!! Khaa! umeanza lini haya mambo? on your wedding nite, au?!
always i think about life not wife but i need her because she has child with me and she gives me joy when I'm sad. I gar no problem mr, you just tell me what to do?