Jamani natafuta mwanamke wa kuchat naye

Joined
Jan 14, 2014
Posts
28
Reaction score
12
Habarini wadau wa jukwaa hili pendwa, napenda kutumia fursa hii kwanza kuwajulisha kuwa mi ni mgeni au unaweza sema kuwa ni mpya katika jukwaa hili
Jamani kama kichwa cha habari hapo juu, natafuta mtoto mkali wa kuchat nae, mimi niko Rock City.
Nawasilisha
 
Kwan humu hauchart??hayaa mtafuto mwemaa
 
Mtoto? JF hairuhusu watoto (under 18).
 
tuchati hapa kwenye thread ... mmmh what your doing?
 
tayta mi nipe hako katoto kalikovaa matikitikii nataka kuchart nako
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…