nmeombwa rushwa ya ngono ..
pole ...Nimemaliza Bachelor of Tourism Management 2012, hadi leo sina pa kujisihkiza. Nimeomba kazi sehemu nyingi bila mafanikio na sehemu zingine nimeombwa rushwa ya ngono sikuwa tayari kwa hiyo nilikosa kazi.
BTM ya Chuo gan bibiye!?Nimemaliza Bachelor of Tourism Management 2012, hadi leo sina pa kujisihkiza. Nimeomba kazi sehemu nyingi bila mafanikio na sehemu zingine nimeombwa rushwa ya ngono sikuwa tayari kwa hiyo nilikosa kazi.
Ngoja nifungue mbuga yangu
Kwa hiyo we unataka ufanye kaz kwenye mbuga yenye Tembo eeeeehhh, mbona hujauliza kuhusu Twiga au Swala.. Unataka Ivory kwa TemboUtapata wapi tembo? Tunakuundia tume wewe.
Kwa hiyo we unataka ufanye kaz kwenye mbuga yenye Tembo eeeeehhh, mbona hujauliza kuhusu Twiga au Swala.. Unataka Ivory kwa Tembo
pole ...
unaishi wapi..?
na umeomba kazi mara ngapi..? na umeitwa interview mara ngapi..?
samahani naomba jibu hayo maswali niongeze kitu..
Tembo wameisha hamna ajira za Tourism sasa hivi...!
ok pole sana usikate tamaa najua tatizo la ajira limekuwa gumu sana ..kitu ambacho naweza shauri unaweza kuendelea kujaribunaishi dar,nmeitwa kama mara 5 hvi....